Elections 2015 Ananilea Nkya: Magufuli akichaguliwa Ufisadi na Umasikini vitaongezeka

Elections 2015 Ananilea Nkya: Magufuli akichaguliwa Ufisadi na Umasikini vitaongezeka

Uchumi wa TZ sasa ni mzuri sana kuliko 2015 na kuna maendeleo zaidi ukilinganisha na 2015. Ni zero brain tu ambaye anaweza kusema uchumi wa nchi yetu leo ni mbaya labda uchumi wako wewe na mafisadi wenzio.

EMBECILE Syndrome
 
Ah, kwani Marais wanaowasifiaga majukwaani, Nyerere na Mkapa walitoka chama tofauti na CCM? Nilidhani angefafanua ni namna gani Magufuli atazembea kuwashika mafisadi na sio kulaumu mfumo endapo utachaguliwa tena... Zaidi anaonekana kama mpiga kampeni wa UKAWA kuliko mchambuzi, mbaya zaidi anatoka chombo ambacho kilitakiwa kisiweke msimamo wake kwenye Uchaguzi Mkuu.

Nilikuwepo!
Toa maoni yako tena
 
TAWILE Mama..!
Tumeona Uwanja wa Ndege CHATO.. Ufisadi Mtupu.
TRILLION 2,4 zimechotwa HAZINA kupelekwa IKULU.

Tumerudi miaka 55 nyuma, tumekua nchi ya chama kimoja.
 
Back
Top Bottom