Elections 2015 Ananilea Nkya: Magufuli akichaguliwa Ufisadi na Umasikini vitaongezeka

Kwa hakika hatuna cha kujaribisha kwa ccm kwa maana mfumo wao wa kiutawala ndiyo ulizaa ufisadi na hatimaye matunda ya umasikini uliokidhiri. Tumchague na tumpe nafasi LOWASSA.

lowassa katokea wapi
 
Kwa hakika hatuna cha kujaribisha kwa ccm kwa maana mfumo wao wa kiutawala ndiyo ulizaa ufisadi na hatimaye matunda ya umasikini uliokidhiri. Tumchague na tumpe nafasi LOWASSA.

EL hana uwezo, hapo ndipo walipokosea
 
Huyu mama alipo andika haya aliporomoshewa kila aina ya matusi na kejeli! Ukifuatilia comments za wadau hapa Jamvini za wakati ule utagundua kuwa kuna watu sasa wakisoma comments zao wenyewe watakuwa wanajionea aibu sana! Kilichoitwa ramli sasa ni ukweli ambao hata watoto wa chekechea wanautambua!
 
Asante sana Nkya. Sitaongeza neno. Umetema madini.
 
Nchi ya wajinga hii!
 
Anafaa kuitwa jina la mtabiri, jiwe anenda kuifanya nchi yetu kama Zimbabwe.
 
Anafaa kuitwa jina la mtabiri, jiwe anenda kuifanya nchi yetu kama Zimbabwe.
Hopeless kabisa. Yaani huyo mjumbe mmoja wa EU ndiyo imekuwa resolution ya Bunge zima la EU!! Na tayari huyo mjumbe ameshajibiwa na viongozi wa EU tayari. Nothing new hapo!
 
Uchumi wa TZ sasa ni mzuri sana kuliko 2015 na kuna maendeleo zaidi ukilinganisha na 2015. Ni zero brain tu ambaye anaweza kusema uchumi wa nchi yetu leo ni mbaya labda uchumi wako wewe na mafisadi wenzio.
 
Hopeless kabisa. Yaani huyo mjumbe mmoja wa EU ndiyo imekuwa resolution ya Bunge zima la EU!! Na tayari huyo mjumbe ameshajibiwa na viongozi wa EU tayari. Nothing new hapo!
ni bunge lile hakuna mkubwa anyeliiingilia hawaendi kama nchi za kiafrika ambapo mtu mmoja analipelekesha bunge, na ile ni foreign affairs commitee, ni mkubwa gani huyo unayesema anaitwaje ana cheo gani?walichoomba ni maelezo ya hela ya covid 19 au ni kosa kuulizia hela ya tax payers wao inavyotumika?
 
Hata huelewezi. Andika vizuri basi ili tukuelewe mkuu. Hebu sikiliza hii hapa chini kidogo!
Your browser is not able to display this video.
 
Hata huelewezi. Andika vizuri basi ili tukuelewe mkuu. Hebu sikiliza hii hapa chini kidogo!
View attachment 1630321
hahahahaha mkubwa gani aliyekanusha maazimio ya kamati ya mambo ya nje ya EU parliament? siwezi poteza bando yangu nitajie hyo mkubwa aliye wa bash wabunge wa EU,maana jana mchana wote tuliangalia live,siyo unaniletea vi channel vya makanjanja wa bongo
 
Hopeless kabisa. Yaani huyo mjumbe mmoja wa EU ndiyo imekuwa resolution ya Bunge zima la EU!! Na tayari huyo mjumbe ameshajibiwa na viongozi wa EU tayari. Nothing new hapo!
Hizo pesa mlizifanyia matumizi gani? Si corona haipo nchini kwetu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…