Ananing'ata! Kwa kweli naumiaga!

Ushamba na utoto vinakusumbua ukikua utaacha
 
Mwambie tu ukweli kama unaniumiza

kunako utamu kuumizana tena
 
wakt mwingine tunaumia kwa kutosema ukweli.MWAMBIE AKIFANYA HIVYO UNAUMIA NYONYO YAKO..we fanya masihara iko siku anatokanayo moja
 
Hahahahahaha! Umenichekesha. Duh! Pole sana. Lol
 

Huo ni mtego wa noti tu.
 
jamaa angu mmoja wa udsm aliachana na demu ake hivyo hivyo..demu alikua anampiga jamaa makofi ile mbaya wakati jamaa anamtaarisha,baada ya gemu jamaa akilalamika demu anasema hakumbuki lolote,POLE SANA MKUU
 
Bandika plasta halafu mdanganye kuwa nyonyo imeumia
 
Kwani huwa mnafanyaga bila kuzungumza na kuambiana nini kinampa raha mwenzio? Au mnaogopana? Achani hizo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…