Ananing'ata! Kwa kweli naumiaga!

Ananing'ata! Kwa kweli naumiaga!

vijana acheni zinaa
sasa bebii kabla ya mchezaji kuingia uwanjani si lazima apashe kwanza? ndio maana na sisi tunajiburudisha kabla ya kuoana ikiwa ni namna ya kupasha viungo kabla ya full game....yaani ndoa!!!! unajua unaweza ukaoa bila initial test ukajikuta umeuziwa mbuzi kwenye gunia. sasa just imagine kama ndio huyu mtu nishamuoa halaf hii ikawa ndio tabia yake ya kudumu...hiyo ndoa itakalika kweli?
 
Plz The Boss niruhusu nitumie huu msemo... "JF is never boring" nimecheka saana.

......"anazing'ata weeeh..mi najitahidi kujikaza kwa kudhani kuwa labda atacha muda si mrefu....anaachia...anang'ata....anaachia...anang' ata!" Pole sana Mkuu.

nilipofika kwenye sentensi nimecheka sana daa huyo binti kiboko.
 
Pole sn inawezekana network yake huwa inakata vinginevyo angegundua tu mwenyewe kuwa nanachokifanya hukifurahii, cha kufanya ongea naye wakati wa gud time kwa kumwabia kwa style ya kumsifia katika yale ambayo huwa unayafurahia na umwambie lile la kukung'ata huwa linakukata stim ataelewa tu na kwavile huwa hafanyi makusudi ataacha.
 
umenikumbusha mkuu nimewahi kunga'twa ....lol....halafu maumivu makali unayasikia baada ya game
 
Mbona simple tu we punguza manjonjo unayomfanyia hadi anapagawa akikuuliza mbona cku hizi hunifanyii kama zamani mwambie naogopa ikikukolea utaning'ata chuchu zangu mie....,kila siku uniumize tu mwana wa mwenzio ebo....
 
Mmmh! unampagawisha sana ndio mana hajui anafanya nini raha unazo mpa alikotoka hajawahi kupewa...punguza kidogo akiuliza mwambie ukweli...
 
shida ya watu wengi wanaonea aibu ktk swala zima la 6x6, mwembie mwenzio pale unapoona anafanya vitu vinakukera na hata anapofanya vizuri mfagilie ili kesho aongezee bidii. unaumia huku unapiga kimya? huo ni uduanzi.
 
Ongea nae kwa kirefu kuwa unapata maumivu mengi sana
 
Back
Top Bottom