Mtego wa Noti
JF-Expert Member
- Nov 27, 2010
- 2,591
- 1,616
- Thread starter
- #21
duuh, bullet proof? si atakimbia sasa?Vaa bullet proof.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duuh, bullet proof? si atakimbia sasa?Vaa bullet proof.
sasa bebii kabla ya mchezaji kuingia uwanjani si lazima apashe kwanza? ndio maana na sisi tunajiburudisha kabla ya kuoana ikiwa ni namna ya kupasha viungo kabla ya full game....yaani ndoa!!!! unajua unaweza ukaoa bila initial test ukajikuta umeuziwa mbuzi kwenye gunia. sasa just imagine kama ndio huyu mtu nishamuoa halaf hii ikawa ndio tabia yake ya kudumu...hiyo ndoa itakalika kweli?vijana acheni zinaa
mhhhh...yataka moyo lkn.Daah! mambo ya malovee hayo vumilia!
Plz The Boss niruhusu nitumie huu msemo... "JF is never boring" nimecheka saana.
......"anazing'ata weeeh..mi najitahidi kujikaza kwa kudhani kuwa labda atacha muda si mrefu....anaachia...anang'ata....anaachia...anang' ata!" Pole sana Mkuu.
hiyo balaa
Pakaa pilipili manyonyo yako
Mbona simple tu we punguza manjonjo unayomfanyia hadi anapagawa akikuuliza mbona cku hizi hunifanyii kama zamani mwambie naogopa ikikukolea utaning'ata chuchu zangu mie....,kila siku uniumize tu mwana wa mwenzio ebo....
Pakaa pilipili manyonyo yako