Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Kwanza hii ni chai!Ukiona kuheshimu wenzako huwezi basi kaza komwe ujiheshimu mwenyewe
Unafikiri kile kitendea kazi ni pambo π
Hujaelewa mada, unajibu kitu tofauti na kilichoulizwaUkiona kuheshimu wenzako huwezi basi kaza komwe ujiheshimu mwenyewe
Inabidi kuamini hivyoVumilia maana mvumilivu hula mbivu
Jifunze kutofatisha baina ya Tendo la Ndoa na tendo la ngono au tendo la zinaa. Tendo la ndoa linafanyika baina ya wanandoa. Wewe umekataliwa kufanya tendo la ngono/zinaa na mchepuko sio mkeo huyo.
Ushauri: Acha zinaa ndugu. Baki Njia kuu.
Kivipi mkuu, mada umeielewa vizuri?Madada umalaya wao ndiyo unawadhalilisha ona kama huyo anavyodhalilishwa!
ustahimilivu ni ustaarabu πKuna kamchepuko kangu, kila siku ananipiga kalenda kwa sababu yupo kwenye mfungo.
Nimeongea naye hivi karibuni, anasema mpaka mfungo uishe, na ataongeza siku zingine sita za mfungo; sasa huyu ananipenda kweli au ananikomoa?
Natamani nimuache, ila nashindwa kutokana na mautundu aliyonayo, pamoja na ubora wa kitendea kazi chake.
Nimekuwa kama vile mfungwa.
Nimeilewa vizuri sana,wewe huyo ni kimada wako hujamuoa hivyo huna haki yoyote ya kuona ni halali yako kufanya naye uzinifu lakini kwakuwa alikubali mwenyewe kujiingiza kwenye uzinifu na wewe ndiyo maana unaona ni haki yako bila kujali hiyo "ibada" yake ya kufunga ndiyo maana nimesema Umalaya wa hawa dada zetu ndiyo unawadhalilisha,sikulaumu wewe kwa sababu yeye mwenyewe alishakuzoesha.Kivipi mkuu, mada umeielewa vizuri?
Pia inafanya dunia kuwa sehemu nzuri ya kuishiPenzi kitovu cha uzembe
Naona bado hujanielewa nilichoandika. Rudia kusoma kwa utaratibuHoteli na nyumba za wageni zilizojaa huku duniani na bado zingine zinajengwa, wanaokwenda kulala mule ni wana ndoa?