Ananinyima tendo la ndoa, kisa eti amefunga

Kuna kamchepuko kangu, kila siku ananipiga kalenda kwa sababu yupo kwenye mfungo.

Nimeongea naye hivi karibuni, anasema mpaka mfungo uishe, na ataongeza siku zingine sita za mfungo; sasa huyu ananipenda kweli au ananikomoa?

Natamani nimuache, ila nashindwa kutokana na mautundu aliyonayo, pamoja na ubora wa kitendea kazi chake.

Nimekuwa kama vile mfungwa.​
leta kwangu nithibitishe ubora wa kitendea kazi chake kisha nije kuwathibitishia wananzengo
 
Kuna kamchepuko kangu, kila siku ananipiga kalenda kwa sababu yupo kwenye mfungo.

Nimeongea naye hivi karibuni, anasema mpaka mfungo uishe, na ataongeza siku zingine sita za mfungo; sasa huyu ananipenda kweli au ananikomoa?

Natamani nimuache, ila nashindwa kutokana na mautundu aliyonayo, pamoja na ubora wa kitendea kazi chake.

Nimekuwa kama vile mfungwa.​
Siyo mfungwa tu wewe umekuwa zombie
 
Nimeilewa vizuri sana,wewe huyo ni kimada wako hujamuoa hivyo huna haki yoyote ya kuona ni halali yako kufanya naye uzinifu lakini kwakuwa alikubali mwenyewe kujiingiza kwenye uzinifu na wewe ndiyo maana unaona ni yako bila kujali hiyo "ibada" yake ya kufunga ndiyo maana nimesema Umalaya wa hawa dada zetu ndiyo unawadhalilisha,sikulaumu wewe kwa sababu yeye mwenyewe alishakuzoesha.
Takwimu za dunia zinaonyesha wanawake ni wengi kuliko wanaume, wanaume halisi wanazidi kupungua kila siku na kupelekea wanawake wengi kutokuwa na wanaume, zaidi ya kushea sisi tuliobaki wachache, ata leo hii kila mwanaume halisi aoe wake sita, bado wapo wanawake watakao kosa wanaume.

Kwa mantiki hii hatutakiwi kupingana na asili ya kiumbe hai kilichozaliwa na kuwa na hisia; kama dunia itaazimia kila mmoja atulie kwenye ndoa yake; hawa wengine hisia zao watazituliza wapi? Na hii ndio chimbuko la midoli.​
 
Una mwandiko hata mtoto wa vidudu anakuelewa.
Mchepuko kafunga
Unataka akupe ngono?
Au unadhani kwenye uzi umeandika umenyimwa na mke?
Hii ndio pointi, ulitakiwa ujibu pale hivyo
 
Kuna kamchepuko kangu, kila siku ananipiga kalenda kwa sababu yupo kwenye mfungo.

Nimeongea naye hivi karibuni, anasema mpaka mfungo uishe, na ataongeza siku zingine sita za mfungo; sasa huyu ananipenda kweli au ananikomoa?

Natamani nimuache, ila nashindwa kutokana na mautundu aliyonayo, pamoja na ubora wa kitendea kazi chake.

Nimekuwa kama vile mfungwa.​
Pole mzinifu
 
Washinda njaa ni wengi sana
 
Back
Top Bottom