Ananinyima tendo la ndoa, kisa eti amefunga

leta kwangu nithibitishe ubora wa kitendea kazi chake kisha nije kuwathibitishia wananzengo
 
Siyo mfungwa tu wewe umekuwa zombie
 
Takwimu za dunia zinaonyesha wanawake ni wengi kuliko wanaume, wanaume halisi wanazidi kupungua kila siku na kupelekea wanawake wengi kutokuwa na wanaume, zaidi ya kushea sisi tuliobaki wachache, ata leo hii kila mwanaume halisi aoe wake sita, bado wapo wanawake watakao kosa wanaume.

Kwa mantiki hii hatutakiwi kupingana na asili ya kiumbe hai kilichozaliwa na kuwa na hisia; kama dunia itaazimia kila mmoja atulie kwenye ndoa yake; hawa wengine hisia zao watazituliza wapi? Na hii ndio chimbuko la midoli.​
 
Una mwandiko hata mtoto wa vidudu anakuelewa.
Mchepuko kafunga
Unataka akupe ngono?
Au unadhani kwenye uzi umeandika umenyimwa na mke?
Hii ndio pointi, ulitakiwa ujibu pale hivyo
 
Pole mzinifu
 
Washinda njaa ni wengi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…