Ananinyima tendo la ndoa kwa kusingizia analea mtoto

Naombeni msaada Wa mawazo hivi ni kawaida kwa mwanamke kumnyima mwanaume unyumba miezi mitatu mfululizo kwa kisingizio cha kulea au ndo naibiwa kimya kimya. Naomben ushauri wa ki utu uzima kabla sija mrudisha huyu Binti kwao
Dogo kunyonyesha kisiwe kisingizio anatakiwa akupe tendo ni haki yako
 
Naombeni msaada Wa mawazo hivi ni kawaida kwa mwanamke kumnyima mwanaume unyumba miezi mitatu mfululizo kwa kisingizio cha kulea au ndo naibiwa kimya kimya. Naomben ushauri wa ki utu uzima kabla sija mrudisha huyu Binti kwao
πŸ˜€Unataka kumbemenda mtoto?
 
Ndio maana mtume karuhusu wake 4, wanawake huwa sometimes wanazidiwa majukumu ila wabishi.

Mzee baba tafuta make wa pili kama dini inaruhusu.
 
Dr mpe ushauri ulonyooka lasivo mtampoteza mwenzenu asije enda fukuza mtoto wa watu [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…