Ananinyima tendo la ndoa kwa kusingizia analea mtoto

Ananinyima tendo la ndoa kwa kusingizia analea mtoto

Si kawaida hata kidogo.. Njaa ikikuuma anadhani utaenda kuponea wapi? Walau angekuachia hata mapajani tu kwa nyuma au chini ya kiuno kwa nyuma
Dah... Mshana Jr anyway ndio ukubwa huu inabidi nijifunze mengi.[emoji18][emoji38]
 
Ma sister, hivi inakuaje hasa hadi mtu unamnyima unyumba "Mana kunyimwa maana yake kwamba anafanya kusudi bila sababu za msingi" hivi mtu hadi anakuoa ni kitu gani hasa Cha kwanza alicho kitamani kwako hadi akafikia maamuzi ya kukuoa na kwanini umekuwa na si mwingine?

Je ni haki yako kimnyima?
Ni basi ili mladi umtese kihisia au?
Hana haki ya kupewa?
Humpendi tu ?
Ukiona unanyimwa ujue kuna mwenzio kaka anapewa
 
Mdomo ulikua unanicheza, yani nisingeandika kifua kingenibana, kilikua kishaanza kubana ikabidi nilegeze bra..... [emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah
Msije badili huu uzi kama ule wa b.. da..
 
We nawe acha ubwege, hauna mchepuko?
Ni muda wa mchepuko kula mpini, acha kujibania ,au bahili?
 
Back
Top Bottom