Ananinyima tendo la ndoa kwa kusingizia analea mtoto

Ananinyima tendo la ndoa kwa kusingizia analea mtoto

Mi miez 9 na nilipojifungua miez 6 ndo nikampa ivo tulikata mwaka na miez mi3.kutokuwa na hisia na mwenza huchangia sana
 
Mi miez 9 na nilipojifungua miez 6 ndo nikampa ivo tulikata mwaka na miez mi3.kutokuwa na hisia na mwenza huchangia sana

Mnaishi na mapadre? Hivi unaona sawa kabisa mwaka mzima jamaa ali mzigo na unachukulia poa? Utakuja kustuka ana watoto nje.
 
Mnaishi na mapadre? Hivi unaona sawa kabisa mwaka mzima jamaa ali mzigo na unachukulia poa? Utakuja kustuka ana watoto nje.
Ndo hivo ,jiulize mmoja wenu kapata safari ya mbali ya miaka mitatu. Miwili au na zaidi, hapo inakuwaje? Wewe kama wewe ungefanyeje?
 
Ndo hivo ,jiulize mmoja wenu kapata safari ya mbali ya miaka mitatu. Miwili au na zaidi, hapo inakuwaje? Wewe kama wewe ungefanyeje?

Miaka mi3 labda aende sayari ya Mars lakini kama ni hapa hapa duniani si panafikika? Kama panafikika atleast kila mwezi lazima aje au nimfate.
 
Hadithi yako ni kama haijakamilika...

Umri wa mtoto wenu?

Ni mtoto wa ngapi kwa huyo mwanamke?

Je, alijifungua kwa njia gani?

Umemtaja kama mwanamke tu, je ni mkeo au mwanamke uliye na urafiki naye?
 
Naombeni msaada Wa mawazo hivi ni kawaida kwa mwanamke kumnyima mwanaume unyumba miezi mitatu mfululizo kwa kisingizio cha kulea au ndo naibiwa kimya kimya.

Naomben ushauri wa ki utu uzima kabla sija mrudisha huyu Binti kwao
Relax Buddy,Hawa wanawake baada ya kuzaa wakati mwingine genye zinapungua au zinapanda.Mtoto ni wako mwache na yeye anyonye mpaka angalau afikishe miezi sita plus angalau hata akipata mimba nyingine inakuwa poa.Kwani unashida gani?Ukishindwa fuata ushauri wa daktari
 
Back
Top Bottom