Ananinyima tendo la ndoa kwa kusingizia analea mtoto

Ananinyima tendo la ndoa kwa kusingizia analea mtoto

Ana tatizo la kiafya kama hana tatizo la kiafya muulize vizuri shida nini kama kubemenda mtoto si kweli Piga shoo hata kama mtoto ana mwezi mmoja
Haaaaa Haaaaa 😂 mwezi?, tutapigana man
 
😂😂😂😂😂Mzee wa jicho!!! Eti kwa nyuma
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Si kawaida hata kidogo.. Njaa ikikuuma anadhani utaenda kuponea wapi? Walau angekuachia hata mapajani tu kwa nyuma au chini ya kiuno kwa nyuma
 
Inategemea NTU na NTU. Sasa mwaka nzima unadhani ME hamu zake atazimaliza vipi? Si ndiyo mwanzo wa kutafuta mchepuko? KE wengi pia hawawezi kukaa mwaka mzima bila hiyo kitu.
MI Nampendaga sana mwanamke akitoka kujifungua ukae mwaka mzima bila kukutana na mume
 
Uchumi mkuu maisha ya dar konyo

Kibumu kama mtoto ana Miezi mitatu pia ! Inabidi uwe Muelewa, lkn kama ashaanza kuita Dad ya Kiswahili kaa na mkeo kitako Muongee kama Watu wazima.
 
Naombeni msaada Wa mawazo hivi ni kawaida kwa mwanamke kumnyima mwanaume unyumba miezi mitatu mfululizo kwa kisingizio cha kulea au ndo naibiwa kimya kimya.

Naomben ushauri wa ki utu uzima kabla sija mrudisha huyu Binti kwao
Unataka kumbemenda?
 
Back
Top Bottom