Ananinyima tendo la ndoa kwa kusingizia analea mtoto

Naombeni msaada Wa mawazo hivi ni kawaida kwa mwanamke kumnyima mwanaume unyumba miezi mitatu mfululizo kwa kisingizio cha kulea au ndo naibiwa kimya kimya. Naomben ushauri wa ki utu uzima kabla sija mrudisha huyu Binti kwao
Mwanamke akijifungua mpe miezi minne ya mapumnziko, mwanaume akili kichwani, kwani hakuna vischana nje huko unaweza kupunguza ugwadu ili kuweka utulivu kwa mkeo. Mm kajifungua leo mwaka mzima na miezi mingi tu sijamgusa toka siku alipobeba ujauzito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…