Apo mbona simple mkuu... fanya hv, muoneshe kuwa unampenda sana af siku akikuweka kwenye target akupige kizinga mkwepe, sema huna ela... reaction yake apo ndo itakupa jib. Akiwa mkali shtuka bro... badilisha giaHabari zenu wakuu,
Nimekuwa kwenye mahusiano na msichana mmoja kwa muda mrefu sana, sijawahi kufikiria kumuoa kutokana na tabia yake ya kunipiga vizinga.
Juzi wakati nipo mahali nilikutana na Mpangaji anaeishi kwenye nyumba ya Mama mkwe, yule Dada akawa akaniambia kuwa Mpenzi wangu amekuwa akinipa sifa kedekede kwa Mama yake (Mama Mkwe).
Kiukweli nilishangaa kusikia maneno hayo, maana mimi najua fika kuwa yule Demu yupo namimi kimaslahi zaidi na sio vyenginevyo.
Moja ya alichokiongea ni kuwa mimi Mjanja m1 ndio ananipenda na anataka nimuoe.
Naomba ushauri.
NITOKE NDUKI, AU NIENDELEE KUWA NAE HUYU MREMBO?
Sawa Mkuu Cholo, naufanyia kazi ushauri wako.Apo mbona simple mkuu... fanya hv, muoneshe kuwa unampenda sana af siku akikuweka kwenye target akupige kizinga mkwepe, sema huna ela... reaction yake apo ndo itakupa jib. Akiwa mkali shtuka bro... badilisha gia
Sawa Mkuu, ngoja nitoke Nduki...Kimbia ndugu. Umeambiwa unachotaka kukisikia.
Hisia zako za kwanza juu yake ni onyo la nafsi yako juu ya uhalisia wake, yupo kimaslahi.
Mpangaji ni sehemu ya mkakati wa kukuteka zaidi. Pengine hata 'mama mkwe' hajui uwepo wako hapa duniani. Na pengine kuna njemba kadhaa zimefikishiwa ujumbe kama wako na mpangaji.
Fanya kweli... ila ningekuwa mimi ningehtaj kufahamiana na ma mkwe. Huko kusifiwa huenda nkapata na mengine kama bonusSawa Mkuu Cholo, naufanyia kazi ushauri wako.