Ananipenda au!!!

Siku zote kwenye kupenda tumia akili yako, vipi utumie akili za wengine.

Ushauri wangu huyo anaonyesha hajui kupenda, lakini kama unajiamini kwa kuzungusha kiuno...Unaweza kumzungusha hapo hapo asiende kwingine.

Mh!hata nimfanyie nin huyu asinitoroke,nimejifunza kupenda nikampa kila aina ya mahaba lakin ananifanya *****.
 
laiti ukiludi na mimi nikalijua kwakweli sitotaka kukuona kwani uyo jamaa hana lohoya kibiinadam!hafai hta kidogo
 
huto mwanaume:
1. HAKUPENDI
2. HAKUTHAMINI
3. ANAKUDHARAU
4. LIMBUKENI atakusumbua
5. HAJITAMBUI
6. HAJUI NINI ANATAKA KWENYE MAISHA YAKE, utaambulia headaches
7. Amekuona wewe KIRAKA?

achana nae

asante kwa ushauri nimekuelewa.
 

sio alitaka kunioa hapo mwanzo,ila alitaka kunivisha pete ndoa aftr 3yrs...kitu ambacho wazazi walikataa hakuna uchumba huo na walimweleza km anataka kufanya hvyo basi atoe mahari kipindi hicho aoe ila kwa kuwa mambo hayakuwa mazuri kwake ya kipesa akashindwa ndio 2kaendelea kuwa wapenzi tu tukipanga akimaliza chuo akapata kazi basi 2oane.
 
i understand u well najua atanikumbuka kwa kuwa nimemsaidia pindi anasoma chuo kwa kumpa matumizi kipindi yeye hana kitu,leo amepata pesa ananiona mshamba mungu atamlipizia I WILL NEVER GET HURTED ALONE HE WILL EXPERIENCE THE SAME PAINS.
 
Hey, wangu pole sana bt ndo maisha nakushauri ufanye kaz ambozo ngumu, au usome sana,mazoezi , utamsahau uyo mwanaume,
 
We songa mbele ndugu usirudi nyuma. Maumivu uliyopata yanatosha.
 
dalili umeziona,ukweli unaufahamu na matokeo yake unayajua.nina uhakika asilimia mia unajua unachotakiwa kufanya ila unajipa moyo kuwa kuna upendo kati yenu...achana naye hakufai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…