Ananipenda au!!!

Ananipenda au!!!

Hata km ulikataa kuolewa wakati ule,ilikuwa haki yako kwan hukuwa tayari kuolewa kwa wakati huo,
Nakushauri usirudiane naye kbs,tena onyesha msimamo,hana lolote limbuken tu huyo,
Hope bado ni mvulana tu coz wanaume hawako ivo,
Na ukimrudia manyanyaso utakayoyapata huko ndoan utajuta km sio kufa kbs,
Mwanaume gani hajajitambua na kukufanya spea tairi kila vikimdodea ndio anarudi,fukuza kbs tapel hilo.
 
unaona theort yangu ile nilikupm inavoapply eeh? kuwa mjanja canta wanaume si wenzetu walianza kuumbwa mwe
Shost nimekukubali na theory yako,
Unajua ww unaakili sana!!
Nishaanza kuifanyia kazi mbona,yani dada wa watu km namuona vile,
Sema tu huyo jamaa ipo siku atataman kupata mwanamke wa hivo na hatampata kamwe,
Mie ni mvumilivu na huwa napenda total ila huyu mwenzetu kapitiliza,upendo gani huu jamani na limtu hata halioni,angrrrrr!
 
Hivi upofu na uchizi vinafanana? Kipofu si anatumia bakora akigusa anajua ni jiwe na anajua atajikwaa tena? Au akigusa jiwe anahisi ni mkate afu anajikwalisha?
Missingi you sana jamani lol!
 
Shost nimekukubali na theory yako,
Unajua ww unaakili sana!!
Nishaanza kuifanyia kazi mbona,yani dada wa watu km namuona vile,
Sema tu huyo jamaa ipo siku atataman kupata mwanamke wa hivo na hatampata kamwe,
Mie ni mvumilivu na huwa napenda total ila huyu mwenzetu kapitiliza,upendo gani huu jamani na limtu hata halioni,angrrrrr!
yaani mimi simpatii picha maskini.dah mama yangu
 
Nampenda ila je nikirudi yakajirudia kama ya zamani?nipeni ushaur.

Ila una moyo sana na uvumilivu..............yaani baada ya hayo yote bado wataka kujitundika msalabani tena kwa mara ya ngapi hata nambari nimeisahau................................hakupendi wewe bali mtoto...............yule wmingine angelizaa naye wewe kwisha habari yako..........
 
My dia usipoteze mda kurudi,ndivyo walivyo wanaume walio na ulimbuken wa hela.Achana nae mwishoe atakuletea magonjwa bure.
 
Missing u too baby sis. Ngoja ntakusaka tumkomeshe dingi wknd hii atupeleke walau ngwasuma na aunt glady.
Afu ungekuwa ww ndo mwenye hii kesi, wala nisingekujibu kitu. Ningekucharaza bakora zenye pilipili na vitunguu swaumu hadi akili iwe marinated kama mishkaki! Mapenzi gani uchizi huo!
Missingi you sana jamani lol!
 
Dada ngoja niwe Dr. Phil.
Huyu jamaa achana naye....hana mpango na wewe. Kuwatuma dada zake kumwombea msamaha kwa transgressions zake inamaanisha kwamba hayuko serious na wewe, pili anakuchezea. Unahitaji kum DUMP...umesikia dada yangu...mpige chini tena wala si kwa kelele wala purukushani wala usilete umati...kuwa mstaarabu chukua 50 zako...You know what....atakuja tu kukutafuta...sio leo may be sio kesho lakini atakuja tu....I promise you...najua maisha yatakuwa ya shida or whatever but you what...ili kupata fresh start lazima upitie kunako muda mgumu...na majaribu...You can do it....ni kipindi kidogo tu utakuwa miserable but ninakuhakikishia miezi mitatu utamsahau huyu mtu...maisha yako yatabadilika....you deserve better...not this....achana nae...fanya maamuzi magumu usipokee simu zake kuanzia leo.

umeguswa mtumishi nami ntakuletea la kwangu( pm)
 
yaani mimi simpatii picha maskini.dah mama yangu
Alafu sitashangaa mtu wa hivi akimrudia tena huyo bwana,
Unajua ukifikia stage unapenda mpaka unashindwa kuyatawala mapnz na kukubali kupelekeshwa basi tena hapo inahitajika neema ya mungu kukutoa huko!
Namwombea mungu aweze kutoka huko huwa panaumiza na kukupotezea hata tumain la kuishi kwa furaha!
 
Missing u too baby sis. Ngoja ntakusaka tumkomeshe dingi wknd hii atupeleke walau ngwasuma na aunt glady.
Afu ungekuwa ww ndo mwenye hii kesi, wala nisingekujibu kitu. Ningekucharaza bakora zenye pilipili na vitunguu swaumu hadi akili iwe marinated kama mishkaki! Mapenzi gani uchizi huo!
Nakusubiri kwa hamu sisy,juzi kati hukuwepo alitushushia mkwara wa haja ila ikawa ndio alinihamasisha nilikomaaje naye!!

Dadangu unanijua mie sio wa ivo nishakuwa bana na ushanibebesha mikoba,
Huwa nasoma alama za nyakati na kuanza front mapema lol,
Na huo mtutu wako kuna wa kuniletea upuuzi huu hajipendi!!!
 
yaliyopita si ndwele tugange yajayo. ikizingatiwa mapenzi yenu yamekuwa ya kugombana na kufumaniana. kwenye mapenzi kila mtu ana matatizo yake. lakini siku zote wagombanao ndio wapatanao. usikilize moyo wako, kama bado unampenda endelea naye bila shaka atakuwa kajirekebisha au kama moyo wako haumtaki achana naye sababu utakuwa na mwingine unamfikilia. hakuna wenye mapenzi yalotulia sema wanavumiliana na kusameheana maisha yanaendelea. ova
 
angalia maisha yako dada hakuna mume hapo mauzauza tu kwanza anaonyesha we amekufanya kiraka tu.najua unampenda sana lkn kama mwanzo ulizimia sasa utakufa kabisa na huyo kaka ameshajua kwake upindui ndio maana anakuchezea atakavyo.hata hivyo pole najua maumivu ya mapenzi yanavyoumiza lkn jipe moyo dada utampata wa kweli kwani cku hazigandi!!!!!!!!
 
Mapenzi ni ya wawili, nyinyi (wewe na yeye) ndo mnajua u-deep wa uhusiano wenu. Wapo waliopita kwenye magumu kuliko wewe lakini ndoa zao zipo hai na active mpaka leo. Yafuatayo ni mambo muhimu ya kujiuliza kabla haujafanya declaration yoyote;
1. Alikuwa hataki mfunge NDOA kwa sababu mama yake alikuwa anamkataza. Je, mkirudiana NDOA bado itakuwepo au ndo mtaishi kwa kuchezeana?? Mama yake ataridhia ndoa yenu??? Je, wewe utaolewa na wangapi (na yeye, na mama yake au wote)?? Je, ataendelea kumsikiliza mama yake katika mambo yenu yote ya ndani???
2. Wahenga husema, "kufanya kosa sio kosa, bali kurudia kosa" lakini wamesahau kusema kuwa "anayeomba msamaha ndie aliyekosa na ndiye atakayesamehewa". Kutuma dada zake si vibaya, lakini je una uhakika kuwa hao dada zake walitumwa na huyo mchumba wako?? Hata kama ni kweli walitumwa kuomba msamaha, bado yeye kama mkosaji ilibidi;
(i) Kukiri kosa
(ii) Kujutia kosa
(iii) Kuazimia kutorudia tena kosa. Yeye kama graduate wa chuo ni lazima atakuwa na akili timamu na uwezo wa kutunza kumbukumbu kwamba asirudie tena.
3. Alikuwa anakuzungusha kufunga ndoa na wewe. Baadae akakuambia kuwa amempa mimba mwanamke mwingine kwa hiyo hatafunga ndoa na wewe, mimba ikaharibika. Baada ya hapo akakurudia tena kwa kuomba msamaha, NASHAURI YAFUATAYO;
(i). Kaa nae, ongea nae kwa kirefu nini hasa malengo yake kuhusu wewe.
(ii) Inaonekana anataka mtoto, je kama upo tayari kubeba mimba yake, je atafunga ndoa nawe??? Na nini kianze, NDOA kisha mtoto au mtoto kisha NDOA???? Kwa ushauri wa kidini, "NDOA kwanza kisha mtoto" kwa life experience,"MTOTO kisha NDOA"
(iii) Miaka 5 ya uhusiano si michache, utakuwa unajua nguvu juu ya ufanyaji wake wa mapenzi ipoje [in terms of time(day) interval]. Je atapokuhitaji na wewe upo mbali yeye atafanyaje???
(iv). Umbali wa kijiografia kati ya maisha yake na ya mama yake ni lazima uwe mbali. ASIKUDANGANYE MTU, DUNIA YA SASA HIVI NDOA AU MAHUSIANO MENGI 'MACHANGA' VIKWAZO NI MAMA MKWE NA MAWIFI. Lakini Mkishaishi walau kwa miaka 10 na kuendelea wote hufyata mkia na kuja upande wako.
MWISHO mi sikushauri uachane nae maana kila mwanaume (mimi mwenyewe nikiwemo) ana madhaifu yake, na pia sikushauri uendelee nae kwa sababu sijui kwa undani mapenzi yenu. HIZO NI DONDOO ZA KUKUSAIDIA LAKINI UAMUZI UNAO WEWE MWENYEWE (SI WAZAZI WALA NDUGU ZAKO, SI WAZAZI WALA NDUGU ZAKE).

UHONDO WA NGOMA UNAUJUA WEWE, KAZI KWAKO................
 
Simple and clear, HAKUPENDI!Achana nae tafuta ustaarabu mwingine!Usikubali kuyarudia matapishi mpenzi!
 
Pole kwa yote dada,achana nae huyo songa mbele utapata mtu anayekupenda kwa dhati.
 
ukirudi kwake nitajua unatamaa ya fedha unahisi utazikosa fedha zake..nakuhakikishia majuto kwenye hiyo familia ye fedha pindi utakaporudi.
 
Back
Top Bottom