Ananishangaza sana huyu mama

Ananishangaza sana huyu mama

Jean piaget

Senior Member
Joined
Mar 15, 2014
Posts
143
Reaction score
34
Habari zenu Jf members,
Mm ni kijana (me) , kuna mama mmoja jirani yngu age within 40-45yrs na bint yake tulimaliza nae chuo mwaka juz, so huyu mama nakama my mumy.
Kinachonishangaza ni kwamba nikimsalimia anaitika"marahaba shemu" badala ya mwanangu , and she always call me "shem" no matter which situation we are.
Ananikosesha raha sana huyu mama coz bint yake ananita shem nae pia hivo hivo, namuonea ata aibu kumwambia.

In ur own cognitive (mental ability ) which ways, technique and strategy can I use to overcome ths situation without any conflict with that mumy.

NB: kama huna cha kushauri pita kimya kimya, its for great thinkers only.
 
Mtolee uvivu kwa kumuuliza mama unaniita shamu kwa nani mbona sikuelewi? Tena umuulize akiwa na binti yake mliesoma nae. Utakuwa umemuumbua huenda akakoma kukuita hivyo. Inaonesha analake jambo dhidi yako hasa mapenzi. Akiendelea kata mahusiano na pale kwake muwe mnakutana na binti yake mtaani tu au mnawasiliana kwa simu.
 
Thanx@njali, isitoshe mm na mme wake tuko ofsi moja kikazi na huwa namuita baba.
 
Ni kawaida mkuu, watu wengi ambao wana miaka hiyo, kama anakufahamu, basi ukimpa shikamoo ataipokea kwa shida sana, huwa kuna kainfiriority fulani hivi ka umri, anakukuza na kuona kama mnalingana kidogo.

Mchukulie poa ni kawaida, unless kama anakuonesha pants hapo ni tatizo ambalo unaweza kumu adress akakuelewa.

Take it simple.
 
Habari zenu Jf members,
Mm ni kijana (me) , kuna mama mmoja jirani yngu age within 40-45yrs na bint yake tulimaliza nae chuo mwaka juz, so huyu mama nakama my mumy.
Kinachonishangaza ni kwamba nikimsalimia anaitika"marahaba shemu" badala ya mwanangu , and she always call me "shem" no matter which situation we are.
Ananikosesha raha sana huyu mama coz bint yake ananita shem nae pia hivo hivo, namuonea ata aibu kumwambia.

In ur own cognitive (mental ability ) which ways, technique and strategy can I use to overcome ths situation without any conflict with that mumy.

NB: kama huna cha kushauri pita kimya kimya, its for great thinkers only.

Mkuu huku ni elimu kwanza peleka hii kitu jukwaa husika!
 
Thanx@njali, isitoshe mm na mme wake tuko ofsi moja kikazi na huwa namuita baba.

Majimama huwa wakati mwingine yanawatamani vijana wa kiume wadogo wadogo! Kuwa makini usije ukatekwa na jimama. Kama ambavyo vibabu vinavyotuingilia kwa kuchukua vibinti vidogo kwa ushawishi wa salio. Kuwa makini sana bwana peaget
 
Yani wewe kuitwa tu shem unakuja jukwaani,tatizo unawaza mapenz.Alafu unapenda sana kuchanganya kiswahili na kiingereza bila sababu za msingi,si ajabu hata unapoongea unabana pua na hivyo vingereza vyako ndio maana wanakuona mtu wa mapenzi tu.
 
Thanx mkuu, nmekuelewa na and im so carefully, so wat can I do 2 combat this as situation?
 
Majimama huwa wakati mwingine yanawatamani vijana wa kiume wadogo wadogo! Kuwa makini usije ukatekwa na jimama. Kama ambavyo vibabu vinavyotuingilia kwa kuchukua vibinti vidogo kwa ushawishi wa salio. Kuwa makini sana wana peaget

Thanx mkuu, nmekuelewa and im so carefully, so wat can I do 2 combat this as situation?
 
Majimama huwa wakati mwingine yanawatamani vijana wa kiume wadogo wadogo! Kuwa makini usije ukatekwa na jimama. Kama ambavyo vibabu vinavyotuingilia kwa kuchukua vibinti vidogo kwa ushawishi wa salio. Kuwa makini sana wana peaget

Thanx mkuu, nmekuelewa and im so carefully, so wat can I do 2 combat this situation?
 
Mkuu huku ni elimu kwanza peleka hii kitu jukwaa husika!

huku ni elimu natambua na hili linahitaji mawazo ya kiakili na cyo jokes wala gossips, education z abroad term, hivo cyo lazma upost "ajira za walimu"au semister ya pili UDSM taanza;
 
toa upuuz wako kwenye jukwa la elimu we mwehu nini[/QUOTE

Sikushangai kwa ku2kana sababu makuz ya mtomto ndo yanamfanya awe mstarabu, mwizi, chokolaa etc, kama baba na mama wanatumia lugha chafu nyumbani vivyo hivo ata mtomto,
Back to the topic, unajua maana ya socialisation? Je matatizo ktk jamii zetu tunayatatua vp? je elimu haihusiki ktk kutatua matatizo? Je hayo maswali kwanza kabla hujaanza ku......
 
Thanx@njali, isitoshe mm na mme wake tuko ofsi moja kikazi na huwa namuita baba.

Sasa kumbe unatafuta jibu ambalo unalo mfukoni. Anakuita Shem kwasababu unafanya kazi na Mumewe automatically wewe na Mumewe lazima mutaitana kaka. BTW mjini kila mtu baby uzee mwisho chalinze.
 
Yani wewe kuitwa tu shem unakuja jukwaani,tatizo unawaza mapenz.Alafu unapenda sana kuchanganya kiswahili na kiingereza bila sababu za msingi,si ajabu hata unapoongea unabana pua na hivyo vingereza vyako ndio maana wanakuona mtu wa mapenzi tu.

@Dr ur suffering from storm and stress; aliongelea mapenz ni nani? Ni heshima tu ndo nilikua naongelea, ulichotakiwa kutoa wazo lenye akili na cyo ku............( )
 
Habari zenu Jf members,
Mm ni kijana (me) , kuna mama mmoja jirani yngu age within 40-45yrs na bint yake tulimaliza nae chuo mwaka juz, so huyu mama nakama my mumy.
Kinachonishangaza ni kwamba nikimsalimia anaitika"marahaba shemu" badala ya mwanangu , and she always call me "shem" no matter which situation we are.
Ananikosesha raha sana huyu mama coz bint yake ananita shem nae pia hivo hivo, namuonea ata aibu kumwambia.

In ur own cognitive (mental ability ) which ways, technique and strategy can I use to overcome ths situation without any conflict with that mumy.

NB: kama huna cha kushauri pita kimya kimya, its for great thinkers only.

Mbona baadhi ya maneno hukamilishi kama sio mzaha!
 
Sasa kumbe unatafuta jibu ambalo unalo mfukoni. Anakuita Shem kwasababu unafanya kazi na Mumewe automatically wewe na Mumewe lazima mutaitana kaka. BTW mjini kila mtu baby uzee mwisho chalinze.

Mkuu mme wake namwita baba maana age yake 60 s yrs, nami bado ata 30 yrs sijafkisha, ata bint yake huwa anajickia vibaya anavosikia mama ake ananiita shem
 
Back
Top Bottom