Ananitafuta akitaka tufanye mapenzi tu. Nataka kumuacha, nashindwa maana ninampenda

Kama sio tu tofauti ya umri, miezi ya haya mahusiano yenu, nilihisi ni mimi nimesemwa huku.
ukiachwa achika, japo mapigo huwezi kuyasahau
 
Bado naendelea kutafuta option tatizo nyie wanaume hamtaki mahusiano ya bila sex ndio hicho kinanigea ugumu ila hata Leo akisema mtu yupo seriously anaenda home huyu namuacha kweupee
Njoo kwetu married men huku ukiendelea kutafuta wa kukuoa mkuu. Sisi hatukubni sana wakati unatafuta, ukishapata tunakuacha uende zako kwa mumeo🤣
Hujanijibu umri wako.
 
Bado naendelea kutafuta option tatizo nyie wanaume hamtaki mahusiano ya bila sex ndio hicho kinanigea ugumu ila hata Leo akisema mtu yupo seriously anaenda home huyu namuacha kweupee
Yaani usigegedwe kabla ya ndoa....mweee
 
Umechagua kuwa sex slave. Kupanga ni kuchagua
 
Ex wako alifariki kwa ugonjwa gani?
 
N
Kama sio tu tofauti ya umri, miezi ya haya mahusiano yenu, nilihisi ni mimi nimesemwa huku.
ukiachwa achika, japo mapigo huwezi kuyasahau
Ndio umemuacha mtoto wa mwenzio… mimi sijaachwa mkuu.. hapa navyoongea nishatumiwa sms ya Asubuh njema 🤣🤣🤣
 
Ulipima baada ya msiba?
Miaka 2 sasa na nilishapima niko poa
Hakufa na ukimwi mbona mnapenda sana kuona waliokufa wamekufa na magonjwa kuna kulala mtu akafa usingizini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…