Ananitafuta akitaka tufanye mapenzi tu. Nataka kumuacha, nashindwa maana ninampenda

Ananitafuta akitaka tufanye mapenzi tu. Nataka kumuacha, nashindwa maana ninampenda

Kuna huyo Kijana.. nampenda ila yeye hanipendi kabisaa japo anajifanya kunipenda ila mimi Naona Hakuna upendo kabisa…

Tulikutana kazini huko tukaanzisha husiano ila ni kama mimi ndio nimelishikilia maana anaweza kaa hata siku 4 hajanicheck na akinitafuta hazungumzii lolote la maana.. yaani hatujawai kaa tukazungumza la maana zaidi ya sex

Kusema ukweli na mimi nimeshazoea akinitafuta Sawa asiponitafuta na mimi simtafuti yaani nimeamua kwenda na anavyoenda

Kinachoniumiza ni ile hali mmetoka kuonana yaani hapo mmeachana hawezi hata kukuuliza umefika salama yeye anapiga kimya kesho yake ama baada ya siku 2 ndio anakutafuta.. et kukujulia hali kama uko sawa na blablah

Nimeshajizuia mara nyingi akiniita nisiende ila nashindwa unakuta akinitafuta tu sichomoi lazima niende na nina kuwa napata hali ya kumis kusex nae kila wakati… huyu ni mwanaume wangu wa pili kuwa nae after my ex kufariki…

Sina mwanaume mwingine zaidi yake ila ananifanya nijione sina thamani kwasababu haijawai kutokea mimi kuwa hivyo najiona nimekuwa mrahisi kwake kwa kukubali kunitumia vile anavyojisikia

Mahusiano yana miezi 4 na tumeshasex zaidi ya mara 2…
Kingine huyu mwanaume hanipi hela zaidi ya nauli tu kama tukionana na mimi pia sijawah kumuomba hata vocha yake… jamani nampa bure kabisaa lakini yeye hajali kuhusu mimi…

Mpk ninahisi huyu mwanaume atakuwa ameniroga au Nina matatizo ya kisaikolojia

Naombeni ushaurii kama Hii hali ni ya kawaida au kunakitu hakipo sawa

Mimi Nina Miaka 24 yeye ana miaka 29
Mimi nina kazi na yeye pia ana kazi yake
Joannah Labella njooni mumsaidie mwenzenu huku anagawa mbususu kwa hela ya nauli🤣🤣🤣🤣

Ila sasa lakini sii anakigegeda vizuri wee ridhika maana nagekuwa hakugegedi vizuri usingekuwa unakipeleka
 
Huyo mtu nampatia wapi mkuu… kuliwa mara nyingi mimi kwangu hapana labda nimiss mimi ila yeye tu big no
Subiri kwanza mkuu,
Upo tayari kukaa na mtu unaona kabisa abakutumia kwa maslahi yake? Huna option nyingine? Mbona wanaume wapo wengi tu?

Kwanza una umri gani!
 
Mara 2 kwa miezi minne ndo umeshahitimisha hivyo.

Jamani hivi mkisikia uhusiano mnakuwa mnauchukuliaje yani?
 
Subiri kwanza mkuu,
Upo tayari kukaa na mtu unaona kabisa abakutumia kwa maslahi yake? Huna option nyingine? Mbona wanaume wapo wengi tu?

Kwanza una umri gani!
Bado naendelea kutafuta option tatizo nyie wanaume hamtaki mahusiano ya bila sex ndio hicho kinanigea ugumu ila hata Leo akisema mtu yupo seriously anaenda home huyu namuacha kweupee
 
Bado naendelea kutafuta option tatizo nyie wanaume hamtaki mahusiano ya bila sex ndio hicho kinanigea ugumu ila hata Leo akisema mtu yupo seriously anaenda home huyu namuacha kweupee
Niende home kwenu bila kutest mitambo?
Nikiona bwawa baada ya kutoa mahari na kukuoa hasara itakuwa kwa nani?
 
Back
Top Bottom