Ananitafuta akitaka tufanye mapenzi tu. Nataka kumuacha, nashindwa maana ninampenda

Ananitafuta akitaka tufanye mapenzi tu. Nataka kumuacha, nashindwa maana ninampenda

Maybe help me to understand, kwani zaidi ya sex ulitaka muongee nini kingine mkuu?
Jamani hakuna story nyingine kwani zaidi ya hizo sex… basi hana story ndio nikitoka kwake asiniulize hata kama umefika salama

Jamani kuna ile kuzugazuga hata story za uongo na kweli
 
Eti mara nyingi mala 2 sex kwa miezi 4 ndio nyingi jamani?
KAZI ni kipimo cha UTU
 
Ndiyo shida ya mwanaume akishajua kuwa kwake huruki... anakuwa na ukatili uliojaa upumbavu juu yake..
Just move on cute... inawezekana mbona
 
Eeh bwana nimetafakari kwa kina haya malalamiko yako, inaonesha jamaa ni highclass kuliko wewe mnawaitaga ma HB ndio maana anakufanya sex toy. Na wewe unajijua hulipi ukiachana nae utakaa single mda mrefu na upwiru hivyo badala ya kulalamika we endelea kufurahia huduma ya mkuyenge wa take-away.

Siri ni kwamba wewe ni mmbovu ama huna mvuto wa kike ila umejaliwa mbunye amazing hivyo mwamba anakuita kila akiukumbuka utamu wa K yako. Haya mambo yanatokeaga kwa mabaharia unakuta demu haeleweki ila ana mbususu mnato. Hilo ndo tatizo wala usitafute mganga.
Wewe jamaa kila nikisoma hapa najikuta nacheka et umetafakari ukaona nini🤣🤣🤣🤣
kwaiyo mimi silipi nitakaa single muda mrefu weeeeeeeeeeeee😆😆😆
Kumbe wanaume tukiwaganda mnaonaga sisi tumedoda my friend mimi sio mbaya kiasi hicho kabisa ni vile tu nina upendo wa dhati halafu nakutana na bad boys and najisikia vibaya kuwa na body count kubwa

Na huyu kijana kwenye kundi la handsome tumtoe kabisa ni kijana wa kawaida sana na sio huyo unaemuwaza wewe

Labda tu hanipendi au kuna vigezo vyake anavyotaka sina au pia ana commitment na mwanamke mwinginee but sio kwamba mimi ni kabaya jamani
 
Mahusiano yana miezi minne na mmekutana kimwili x2-3, sio sawa aisee.
 
Jamani hakuna story nyingine kwani zaidi ya hizo sex… basi hana story ndio nikitoka kwake asiniulize hata kama umefika salama

Jamani kuna ile kuzugazuga hata story za uongo na kweli
Pesa huwa anakupa?
 
Miaka 24 mapema sana kujipeleka peleka kbisa nyege utachakaa mapema .. hio kitu unafanya wacha ifanywe na watu waliodata na stress za ndoa
 
Back
Top Bottom