Ananitafuta akitaka tufanye mapenzi tu. Nataka kumuacha, nashindwa maana ninampenda

Ananitafuta akitaka tufanye mapenzi tu. Nataka kumuacha, nashindwa maana ninampenda

Miaka 24 mapema sana kujipeleka peleka kbisa nyege utachakaa mapema .. hio kitu unafanya wacha ifanywe na watu waliodata na stress za ndoa
Ndio maana nimetulia na huyo.. maana nikiachana ana means naongeza idadi
 
Hapa hautapata ushauri wa maana saana.
Kwa kifupi tu ni kwamba sikiliza vizuri moyo wangu unavyoongea. Lakini pia ni muhimu ukae naye chini muongee mustakabali wa maisha yenu ya baadaye maana si vizuri kutembea gizani..
To make a long story short nicheki whatsapp 0719883822 nikusaidie jambo lako
 
Ngoja nisajili namba kwaajili ya wana jf maana maombi ya namba yamekuwa mengi mwisho muje munianike humu
 
Hata Mimi huwa natoa nauli Tu.
Halafu baada ya game sitaki story tena
Hujanielewa hapa.. namaaisha nikirudi nyumbani ndio huwa hanitafuti but baada ya game huwa tunaongea na kucheka watching movies going out but after mimi kurudi kwetu ni kama amenisahau
 
Sasa mkuu si nakua kama mke wake yaani naliwa sana hivyo hapa nipo nawaza nihame mkoa ili idadi ya sex ipungue kwasababu ya umbali
Ukienda huko mbali ndio hutaliwa? Muhimu ni kutafuta mtu mnayependana na mna future, kuliwa ni muhimu na huwezi kukimbia.
 
Ukienda huko mbali ndio hutaliwa? Muhimu ni kutafuta mtu mnayependana na mna future, kuliwa ni muhimu na huwezi kukimbia.
Huyo mtu nampatia wapi mkuu… kuliwa mara nyingi mimi kwangu hapana labda nimiss mimi ila yeye tu big no
 
Back
Top Bottom