Leonce jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2023
- 1,815
- 2,651
Acha kusumbuka na jamaaa akutaki uyo uko ni ku force mambo. Anae kupenda atakujaliAlooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kusumbuka na jamaaa akutaki uyo uko ni ku force mambo. Anae kupenda atakujaliAlooo
Mkisha kua akili zitawakaa saws....Kuna huyo Kijana.. nampenda ila yeye hanipendi kabisaa japo anajifanya kunipenda ila mimi Naona Hakuna upendo kabisa…
Tulikutana kazini huko tukaanzisha husiano ila ni kama mimi ndio nimelishikilia maana anaweza kaa hata siku 4 hajanicheck na akinitafuta hazungumzii lolote la maana.. yaani hatujawai kaa tukazungumza la maana zaidi ya sex
Kusema ukweli na mimi nimeshazoea akinitafuta Sawa asiponitafuta na mimi simtafuti yaani nimeamua kwenda na anavyoenda
Kinachoniumiza ni ile hali mmetoka kuonana yaani hapo mmeachana hawezi hata kukuuliza umefika salama yeye anapiga kimya kesho yake ama baada ya siku 2 ndio anakutafuta.. et kukujulia hali kama uko sawa na blablah
Nimeshajizuia mara nyingi akiniita nisiende ila nashindwa unakuta akinitafuta tu sichomoi lazima niende na nina kuwa napata hali ya kumis kusex nae kila wakati… huyu ni mwanaume wangu wa pili kuwa nae after my ex kufariki…
Sina mwanaume mwingine zaidi yake ila ananifanya nijione sina thamani kwasababu haijawai kutokea mimi kuwa hivyo najiona nimekuwa mrahisi kwake kwa kukubali kunitumia vile anavyojisikia
Mahusiano yana miezi 4 na tumeshasex zaidi ya mara 2…
Kingine huyu mwanaume hanipi hela zaidi ya nauli tu kama tukionana na mimi pia sijawah kumuomba hata vocha yake… jamani nampa bure kabisaa lakini yeye hajali kuhusu mimi…
Mpk ninahisi huyu mwanaume atakuwa ameniroga au Nina matatizo ya kisaikolojia
Naombeni ushaurii kama Hii hali ni ya kawaida au kunakitu hakipo sawa
Mimi Nina Miaka 24 yeye ana miaka 29
Mimi nina kazi na yeye pia ana kazi yake
Kabisaupendo ni matendo na sio maneno, zingatia sana hilo.
Mimi na naniMkisha kua akili zitawakaa saws....
Huwezi kuwa cheap kwa kila mtu ujue tu.. mwanamke unaemuona cheap kwako wengine wanamtaka hata kinguvu kuwa nae na hawampati kwasababu amekuheshimu wewe halafu wewe unamuona cheapUkipona fangasi za yule muhaya nambie
Unaonekana cheap, unajidhalilisha hujui tu
HahahahahahahahahaAngekupenda ungekuwa hata hio K unampa kwa mgao
Duh!...Ushasema unasukia raha na unapenda na kumiss kuingiliwa naye. Unachotakiwa kufanya ni usisubiri kupigiwa, piga wewe mpaka akupe mimba uzae umuite mbwa.
😂😂 wewe jamaa kwaiyo mimi mbovu sina mvuto wa kike we jamaa daah Mungu anakuonaEeh bwana nimetafakari kwa kina haya malalamiko yako, inaonesha jamaa ni highclass kuliko wewe mnawaitaga ma HB ndio maana anakufanya sex toy. Na wewe unajijua hulipi ukiachana nae utakaa single mda mrefu na upwiru hivyo badala ya kulalamika we endelea kufurahia huduma ya mkuyenge wa take-away.
Siri ni kwamba wewe ni mmbovu ama huna mvuto wa kike ila umejaliwa mbunye amazing hivyo mwamba anakuita kila akiukumbuka utamu wa K yako. Haya mambo yanatokeaga kwa mabaharia unakuta demu haeleweki ila ana mbususu mnato. Hilo ndo tatizo wala usitafute mganga.
sasa si umwambie unauza akulipe kiliko kumpa bure? miezi minne ushavuliwa chupi zaidi ya mara mbili! mtu anakutafuta akiwa nanyege ashakuona we ni sex mashin wake, hujalogwa wala nn inaonekana anakukuna vizuri sana kiasi unarukwa na akili? ukiitambua thamani yako binti ndipo wengine watakuthamini.
Haina shidaHuyo mwanaume anahudhuria vikao vyetu ipasavyo. Kipochi manyoya kinaliwa bure.
unajisikiajeNi kweli kwasababu pia na mimi ninakuwa nina hamu ya kufanya nae.. but kila nikimaliza hapo huwa najisikia vibaya
Body count ndio hua tunazingatia maswala ya kunikuna vizuri mimi sijui naona normal tuHapo kwenye kukunwa vizuri ndo main point...wanawake huwa wanapata tabu sana kuacha mahusiano na mwanaume wa hivyo..
Majutounajisikiaje
unahisi kwa niniMajuto
Mbona hamueleweki.. mkizungushwa kupewa sex mnasema tukuwapa mnakula na kusepa tukiwapa mapema napo maharage ya mbeya….Muongee manini tena zaidi ya ngono zembe inayowaunganisha?
Mahawara mtakaa mtajadili maisha kivipi, mmekuwa ni wanandoa, au mmepanga kuoana lakini haujasema?
Halafu umezungusha mada, baadaye ukaja kujianika rangi yako halisi ya ngozi ulivyo mrahisi na mpenda pesa.
Jitafakari sana, kama unataka kuolewa jitulize utapata mchumba.
Wanaume wanapenda wanawake 'wagumu' na siyo 'maharage ya mbeya' na hicho ndicho kipimo cha 'kujituliza'.
Sifahamuunahisi kwa nini
shida iko hapoSifahamu
Haaha tunaongea bhn… sema ndio ile mnakaa siku 3 ndio mnawasiliana..Kama
Una kazi pesa yake si yako.
Mahusiano yana miezi minne na mmekutana x2. Maana yake kwa mujibu wa uzi wako, amekupigia simu sio zaidi ya x4 (mbili kuomba sex, mbili kuongea blabla)