- Thread starter
- #241
Sawa anawaza kuwa na mwanamke wa aina gani nijue itanisaidia mbeleniLadies!(sio wewe peke yako una mtu wa hivyo) Unless kama umeathirika kwahiyo unataka kumuambukiza kijana makusudi, lakini vinginevyo Wake up. Mimba hamtapeana ila utapewa wewe.
Kingine huyo mwanaume hata kwenye akili yake hawazi kabisa kuoa au kuwa siriaz na mwanamke kama wewe. Hiyo ni very clear. Hata usijipe moyo.
Utapoteza muda sasa na utakosa utulivu kabisa hata ukija kupata mwanaume serious.
Note: Kama una enjoy sex then, enjoy at your own risk and expect no more than that. Thats very very clear.