Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu Id fake nani ananijua humu.. Hakuna mwenye namba yangu humu halafu najisikia vizuri after Hii confession… ningewaambia wanaonijua wangeyazagazaNaona umejiachia sana humu jukwaani kuwa huwa unaenda anakufanya akijisikia..au mimi ndo nimezeeka..
Sifahamiki na mwana jf hata mmojaUne nakujua ndio maan nipo kmy tu.
Duu hii kaliKuna huyo Kijana.. nampenda ila yeye hanipendi kabisaa japo anajifanya kunipenda ila mimi Naona Hakuna upendo kabisa…
Tulikutana kazini huko tukaanzisha husiano ila ni kama mimi ndio nimelishikilia maana anaweza kaa hata siku 4 hajanicheck na akinitafuta hazungumzii lolote la maana.. yaani hatujawai kaa tukazungumza la maana zaidi ya sex
Kusema ukweli na mimi nimeshazoea akinitafuta Sawa asiponitafuta na mimi simtafuti yaani nimeamua kwenda na anavyoenda
Kinachoniumiza ni ile hali mmetoka kuonana yaani hapo mmeachana hawezi hata kukuuliza umefika salama yeye anapiga kimya kesho yake ama baada ya siku 2 ndio anakutafuta.. et kukujulia hali kama uko sawa na blablah
Nimeshajizuia mara nyingi akiniita nisiende ila nashindwa unakuta akinitafuta tu sichomoi lazima niende na nina kuwa napata hali ya kumis kusex nae kila wakati… huyu ni mwanaume wangu wa pili kuwa nae after my ex kufariki…
Sina mwanaume mwingine zaidi yake ila ananifanya nijione sina thamani kwasababu haijawai kutokea mimi kuwa hivyo najiona nimekuwa mrahisi kwake kwa kukubali kunitumia vile anavyojisikia
Mahusiano yana miezi 4 na tumeshasex zaidi ya mara 2…
Kingine huyu mwanaume hanipi hela zaidi ya nauli tu kama tukionana na mimi pia sijawah kumuomba hata vocha yake… jamani nampa bure kabisaa lakini yeye hajali kuhusu mimi…
Mpk ninahisi huyu mwanaume atakuwa ameniroga au Nina matatizo ya kisaikolojia
Naombeni ushaurii kama Hii hali ni ya kawaida au kunakitu hakipo sawa
Mimi Nina Miaka 24 yeye ana miaka 29
Mimi nina kazi na yeye pia ana kazi yake
Hao wote waliokufa waliuliwa na nuksi acha ushirikina ng’ombe weweYupo na wewe kimachale anaogopa atakufa kama alivyo kufa ex-wako.unaonekana unanuksi mbona ex wako afe
Mimi mtu ili awe ex wangu ni lazima niwe nimewahi kusex nae so huyo tulidate tu without sexHapa umesema huyu ni mwanaume wako wa pili wakwanza alifariki . Hapa nimeona malalamiko yako kwenye uzi mwingine je huyu ulimuhesabu?
Wengine tuliumbiwa kuachwa kwenye mahusiano
Hakuna ugomvi hakunaa shida yoyote… niliona mabadiliko yake Kama siku 2 hivi nyuma.. Leo from no where ananitumia hii sms “Mama angu samahani sanaa si kwa ubayaa ila me naona haya mahusiano yaishie hapa mimi binafsi na mambo mengi sina muda na wewe kabisaa sasa kwahyo hatuwezi kujengaa...www.jamiiforums.com
Pia october 26 ulikuwa unatafuta kazi ambapo ulisema mlikutana kazini na mahusiani yako ni ya miezi minne. Kwahiyo nayo ni uongo pia
Mwenye connection
Natafuta kazi… ninapofanya kazi mkataba unaisha mwezi huu … ajira zimekuwa ngumu kila ukiomba una temwa Nina elimu ngazi ya degree maendeleo ya jamii Kama kuna mtu ana connection hata kuwa muhudumu wa tren SGR ama ukonda wa mabasi mimi niko tayari Au kama kuna kazi yoyote halali nisaidiwe...www.jamiiforums.com
Now nimekuelewa your concern una haki ya kuongea Mana Kuna mahala unamisi , Kama vipi shikilia huyo jaribu kukaribisha maombi mengine, elewa Maisha ni full gambling,inabidi u gamble Mana hujui labda hapo ndipo utakapopiga bingoNdio ninamuelewa shida yeye hanielewi anaelewa kidude changu
Kupendana hakuepukikiKumpenda mtu ni kosa kubwa. Ndo maana nikionaga moyo wangu unaanza kumuwaza mtoto wa watu nacheka halafu naongeza sauti ya mziki huku nikishushia juisi ya miwa.
NB: Keep focusing on money, food and hobbies, love is a scam.
Yeah Ngoja aendelee kuwepo akipatikana anaeleweka vizuri nitamuachaNow nimekuelewa your concern una haki ya kuongea Mana Kuna mahala unamisi , Kama vipi shikilia huyo jaribu kukaribisha maombi mengine, elewa Maisha ni full gambling,inabidi u gamble Mana hujui labda hapo ndipo utakapopiga bingo
Hayo mahusiano ya hivyo mimi pia siyaweziNjoo pm ........hapa utapigiwa simu video call na kira aina ya unyama........issue tu usiombe hela sawa??........lakini je chura yupo ??
Upendo kama utapimwa kwa sms na calls nyingi mimi nashindww kabissaAAAH
Hakuna upendo wa hivyo
Sema usipende kurudisha mambo nyuma jaribu kuzingatia kilichonileta Leo kuomba ushauri hizo post zitakuchanganya zingatia Hii ya LeoHapa umesema huyu ni mwanaume wako wa pili wakwanza alifariki . Hapa nimeona malalamiko yako kwenye uzi mwingine je huyu ulimuhesabu?
Wengine tuliumbiwa kuachwa kwenye mahusiano
Hakuna ugomvi hakunaa shida yoyote… niliona mabadiliko yake Kama siku 2 hivi nyuma.. Leo from no where ananitumia hii sms “Mama angu samahani sanaa si kwa ubayaa ila me naona haya mahusiano yaishie hapa mimi binafsi na mambo mengi sina muda na wewe kabisaa sasa kwahyo hatuwezi kujengaa...www.jamiiforums.com
Pia october 26 ulikuwa unatafuta kazi ambapo ulisema mlikutana kazini na mahusiani yako ni ya miezi minne. Kwahiyo nayo ni uongo pia
Mwenye connection
Natafuta kazi… ninapofanya kazi mkataba unaisha mwezi huu … ajira zimekuwa ngumu kila ukiomba una temwa Nina elimu ngazi ya degree maendeleo ya jamii Kama kuna mtu ana connection hata kuwa muhudumu wa tren SGR ama ukonda wa mabasi mimi niko tayari Au kama kuna kazi yoyote halali nisaidiwe...www.jamiiforums.com
Wewe nawe umevumilia miezi yote ulikuwa kimya ............sasa mimi nimejitahidi kutaka kutenda dhambi unajishaua............tulia upate mwana na maji ya motoHayo mahusiano ya hivyo mimi pia siyawezi
Full package utamkuta wapi we tulia na huyo kasongo atleast anakufikisha pesa tafuta zako tyuu 😹😹😹Ngoja tu nitafute wa kunipa vyote taratibu
Fanya hivi Tenga wiki moja ukae nae kuanzia j3 had jumapili tafuteni siku mtakazo kua free,then muangalie kuhusu utumiaji wake wa simu, maana Mimi pia ni mvivu wa kupiga au kutuma maseji.What if ananitumia for his enjoyment halafu mimi nimempenda
Hujaelewa my dear.. mimi pia sio mtu wa masimusimu hivyo niko normal issues ni unakaa hujawasiliana na mwenzio then ukija kumtafuta Hakuna la maana zaidi ya kumwambia lini umuone umemmiss.. lazima mtu ujisikie vibaya ,, mfano wewe mtu wako akae kimya wiki halafu akutafute akueleze shida zake anashida na hela sijui vikoba vipi wewe utajisikiajeUpendo kama utapimwa kwa sms na calls nyingi mimi nashindww kabissaAAA
Tunacheza rough sana na hataki kinga mambo yakienda hivi tutapeana mimba halafu anikimbieFull package utamkuta wapi we tulia na huyo kasongo atleast anakufikisha pesa tafuta zako tyuu 😹😹😹
Kunaepukika vizuri tu. Inategemea na wewe unavyoruhusu moyo wako uchakate mambo. Nimelizwa sana hapo mwanzo we acha tu. Kipindi hicho moyo ndo ulikuwa unanidirect.Kupendana hakuepukiki