Ananitafuta akitaka tufanye mapenzi tu. Nataka kumuacha, nashindwa maana ninampenda

Ananitafuta akitaka tufanye mapenzi tu. Nataka kumuacha, nashindwa maana ninampenda

Kumpenda mtu ni kosa kubwa. Ndo maana nikionaga moyo wangu unaanza kumuwaza mtoto wa watu nacheka halafu naongeza sauti ya mziki huku nikishushia juisi ya miwa.

NB: Keep focusing on money, food and hobbies, love is a scam.
 
Naona umejiachia sana humu jukwaani kuwa huwa unaenda anakufanya akijisikia..au mimi ndo nimezeeka..
Ndugu Id fake nani ananijua humu.. Hakuna mwenye namba yangu humu halafu najisikia vizuri after Hii confession… ningewaambia wanaonijua wangeyazagaza
 
Kuna huyo Kijana.. nampenda ila yeye hanipendi kabisaa japo anajifanya kunipenda ila mimi Naona Hakuna upendo kabisa…

Tulikutana kazini huko tukaanzisha husiano ila ni kama mimi ndio nimelishikilia maana anaweza kaa hata siku 4 hajanicheck na akinitafuta hazungumzii lolote la maana.. yaani hatujawai kaa tukazungumza la maana zaidi ya sex

Kusema ukweli na mimi nimeshazoea akinitafuta Sawa asiponitafuta na mimi simtafuti yaani nimeamua kwenda na anavyoenda

Kinachoniumiza ni ile hali mmetoka kuonana yaani hapo mmeachana hawezi hata kukuuliza umefika salama yeye anapiga kimya kesho yake ama baada ya siku 2 ndio anakutafuta.. et kukujulia hali kama uko sawa na blablah

Nimeshajizuia mara nyingi akiniita nisiende ila nashindwa unakuta akinitafuta tu sichomoi lazima niende na nina kuwa napata hali ya kumis kusex nae kila wakati… huyu ni mwanaume wangu wa pili kuwa nae after my ex kufariki…

Sina mwanaume mwingine zaidi yake ila ananifanya nijione sina thamani kwasababu haijawai kutokea mimi kuwa hivyo najiona nimekuwa mrahisi kwake kwa kukubali kunitumia vile anavyojisikia

Mahusiano yana miezi 4 na tumeshasex zaidi ya mara 2…
Kingine huyu mwanaume hanipi hela zaidi ya nauli tu kama tukionana na mimi pia sijawah kumuomba hata vocha yake… jamani nampa bure kabisaa lakini yeye hajali kuhusu mimi…

Mpk ninahisi huyu mwanaume atakuwa ameniroga au Nina matatizo ya kisaikolojia

Naombeni ushaurii kama Hii hali ni ya kawaida au kunakitu hakipo sawa

Mimi Nina Miaka 24 yeye ana miaka 29
Mimi nina kazi na yeye pia ana kazi yake
Duu hii kali
 
Watu amba
Hapa umesema huyu ni mwanaume wako wa pili wakwanza alifariki . Hapa nimeona malalamiko yako kwenye uzi mwingine je huyu ulimuhesabu?

Pia october 26 ulikuwa unatafuta kazi ambapo ulisema mlikutana kazini na mahusiani yako ni ya miezi minne. Kwahiyo nayo ni uongo pia
Mimi mtu ili awe ex wangu ni lazima niwe nimewahi kusex nae so huyo tulidate tu without sex
 
Ndio ninamuelewa shida yeye hanielewi anaelewa kidude changu
Now nimekuelewa your concern una haki ya kuongea Mana Kuna mahala unamisi , Kama vipi shikilia huyo jaribu kukaribisha maombi mengine, elewa Maisha ni full gambling,inabidi u gamble Mana hujui labda hapo ndipo utakapopiga bingo
 
Kumpenda mtu ni kosa kubwa. Ndo maana nikionaga moyo wangu unaanza kumuwaza mtoto wa watu nacheka halafu naongeza sauti ya mziki huku nikishushia juisi ya miwa.

NB: Keep focusing on money, food and hobbies, love is a scam.
Kupendana hakuepukiki
 
Njoo pm ........hapa utapigiwa simu video call na kira aina ya unyama........issue tu usiombe hela sawa??........lakini je chura yupo ??
 
Hapa umesema huyu ni mwanaume wako wa pili wakwanza alifariki . Hapa nimeona malalamiko yako kwenye uzi mwingine je huyu ulimuhesabu?

Pia october 26 ulikuwa unatafuta kazi ambapo ulisema mlikutana kazini na mahusiani yako ni ya miezi minne. Kwahiyo nayo ni uongo pia
Sema usipende kurudisha mambo nyuma jaribu kuzingatia kilichonileta Leo kuomba ushauri hizo post zitakuchanganya zingatia Hii ya Leo
 
Hayo mahusiano ya hivyo mimi pia siyawezi
Wewe nawe umevumilia miezi yote ulikuwa kimya ............sasa mimi nimejitahidi kutaka kutenda dhambi unajishaua............tulia upate mwana na maji ya moto
 
What if ananitumia for his enjoyment halafu mimi nimempenda
Fanya hivi Tenga wiki moja ukae nae kuanzia j3 had jumapili tafuteni siku mtakazo kua free,then muangalie kuhusu utumiaji wake wa simu, maana Mimi pia ni mvivu wa kupiga au kutuma maseji.
Pia hapo utapata kipimo Cha namna anavyo jiskia yeye ukiwepo wewe maana inawezekanaa kweny simu hafurahii Sanaa tofauti na mkiwa wote.
 
Upendo kama utapimwa kwa sms na calls nyingi mimi nashindww kabissaAAA
Hujaelewa my dear.. mimi pia sio mtu wa masimusimu hivyo niko normal issues ni unakaa hujawasiliana na mwenzio then ukija kumtafuta Hakuna la maana zaidi ya kumwambia lini umuone umemmiss.. lazima mtu ujisikie vibaya ,, mfano wewe mtu wako akae kimya wiki halafu akutafute akueleze shida zake anashida na hela sijui vikoba vipi wewe utajisikiaje

Mimi ukweli usiponitafuta siwezi kukutafuta hata iweje,, kama huyu nikitoka kwake asiponiuliza umefika simpi taarifa, sipigi simu mpk anitafute na akinitafuta siwezi muuliza why alikuwa kimya ninaongea nae kama hakuna kilichotokea… but wakati mwingine ninajisikia vibaya
 
Back
Top Bottom