- Thread starter
- #221
H
Tukiwa wote tunaiga story na yuko vizuri ila huwezi amini anaweza kutoka anaenda dukani ukamtumia sms hakujibu na upo kwake….
Kingine tunachart tu ukiona kanipigia simu ujue tunaenda kuonana ndio atapiga ila ni kuchart tu no calls (wasukuma tatizo nini shenzii 🤣🤣)
hiyo Wiki ndugu hatuendi kazini?? Mimi naishi kwetu siwezi kwenda kushinda kwake…Fanya hivi Tenga wiki moja ukae nae kuanzia j3 had jumapili tafuteni siku mtakazo kua free,then muangalie kuhusu utumiaji wake wa simu, maana Mimi pia ni mvivu wa kupiga au kutuma maseji.
Pia hapo utapata kipimo Cha namna anavyo jiskia yeye ukiwepo wewe maana inawezekanaa kweny simu hafurahii Sanaa tofauti na mkiwa wote.