Ukitafuta wewe ndio utapotea kabisa....... Kaa kwa kutulia kwanza,make inaonekana unaongozwa na hisia zaidi kuliko utashi,but Remember
Woman are like Milk and Mens are like wine,ukishindwa kuelewa maana ake utanambia.......... Unajua buana mie hushindwa kuwaelewa wanawake,ushajua kua wewe ni fvckmate tu nawe unahitaji mapenzi,Why are you still there na kuja huku kutafutq ushauri? Hebu grow up and stop this infantism
Kuna huyo Kijana.. nampenda ila yeye hanipendi kabisaa japo anajifanya kunipenda ila mimi Naona Hakuna upendo kabisa…
Tulikutana kazini huko tukaanzisha husiano ila ni kama mimi ndio nimelishikilia maana anaweza kaa hata siku 4 hajanicheck na akinitafuta hazungumzii lolote la maana.. yaani hatujawai kaa tukazungumza la maana zaidi ya sex
Kusema ukweli na mimi nimeshazoea akinitafuta Sawa asiponitafuta na mimi simtafuti yaani nimeamua kwenda na anavyoenda
Kinachoniumiza ni ile hali mmetoka kuonana yaani hapo mmeachana hawezi hata kukuuliza umefika salama yeye anapiga kimya kesho yake ama baada ya siku 2 ndio anakutafuta.. et kukujulia hali kama uko sawa na blablah
Nimeshajizuia mara nyingi akiniita nisiende ila nashindwa unakuta akinitafuta tu sichomoi lazima niende na nina kuwa napata hali ya kumis kusex nae kila wakati… huyu ni mwanaume wangu wa pili kuwa nae after my ex kufariki…
Sina mwanaume mwingine zaidi yake ila ananifanya nijione sina thamani kwasababu haijawai kutokea mimi kuwa hivyo najiona nimekuwa mrahisi kwake kwa kukubali kunitumia vile anavyojisikia
Mahusiano yana miezi 4 na tumeshasex zaidi ya mara 2…
Kingine huyu mwanaume hanipi hela zaidi ya nauli tu kama tukionana na mimi pia sijawah kumuomba hata vocha yake… jamani nampa bure kabisaa lakini yeye hajali kuhusu mimi…
Mpk ninahisi huyu mwanaume atakuwa ameniroga au Nina matatizo ya kisaikolojia
Naombeni ushaurii kama Hii hali ni ya kawaida au kunakitu hakipo sawa
Mimi Nina Miaka 24 yeye ana miaka 29
Mimi nina kazi na yeye pia ana kazi yake
Haitakusaidia chochote maana, Huwezi kuwa huyo mwanamke kwake, ameshakuchulia tofauti kabisa na haiwezekani kubadilisha.
Hata akibadili gia angani, mahusiano yenu yatakuwa machungu kwako kuliko sasahivi, maana hatajali hisia zako. Kama huamini we endelea kujitahidi

Hakuna ugomvi hakunaa shida yoyote… niliona mabadiliko yake Kama siku 2 hivi nyuma.. Leo from no where ananitumia hii sms “Mama angu samahani sanaa si kwa ubayaa ila me naona haya mahusiano yaishie hapa mimi binafsi na mambo mengi sina muda na wewe kabisaa sasa kwahyo hatuwezi kujengaa...
www.jamiiforums.com
Pia october 26 ulikuwa unatafuta kazi ambapo ulisema mlikutana kazini na mahusiani yako ni ya miezi minne. Kwahiyo nayo ni uongo pia
Natafuta kazi… ninapofanya kazi mkataba unaisha mwezi huu … ajira zimekuwa ngumu kila ukiomba una temwa Nina elimu ngazi ya degree maendeleo ya jamii Kama kuna mtu ana connection hata kuwa muhudumu wa tren SGR ama ukonda wa mabasi mimi niko tayari Au kama kuna kazi yoyote halali nisaidiwe...
www.jamiiforums.com
Hapa ulikuwa unalalamika hakupi nauli wakati hapa umesema anakupa nauli tu
Aisee Hii wakaka wabahili iwafikie habari za kulazimisha kuonana na mdada halafu mnaagana unashindwa kumpa hata elfu 2 ya nauli haipendezi tuna haribiana bajeti. Hiko hivi kuna huyo Kijana tumefahamiana ni kama mwezi wa 3 sasa mcheshi yuko Normal tu.. kitu kinachonikera kwake yaani anapenda...
Ukitafuta wewe ndio utapotea kabisa....... Kaa kwa kutulia kwanza,make inaonekana unaongozwa na hisia zaidi kuliko utashi,but Remember
Woman are like Milk and Mens are like wine,ukishindwa kuelewa maana ake utanambia.......... Unajua buana mie hushindwa kuwaelewa wanawake,ushajua kua wewe ni fvckmate tu nawe unahitaji mapenzi,Why are you still there na kuja huku kutafutq ushauri? Hebu grow up and stop this infantism
Haitakusaidia chochote maana, Huwezi kuwa huyo mwanamke kwake, ameshakuchulia tofauti kabisa na haiwezekani kubadilisha.
Hata akibadili gia angani, mahusiano yenu yatakuwa machungu kwako kuliko sasahivi, maana hatajali hisia zako. Kama huamini we endelea kujitahidi
Ni kweli…. Kabisaa na sasa ameanza kuning’aniza tuishi pamoja nimemwambia haiwezekani mpk tuoane anasema tutapanga mbeleni lakini kwa namna alivyo sioni muoaji kabisa
Kudadaadadeki halafu unakuta kuna mwanaume mwingine mwenye nia ya kuoa na anahudumia pesa kabisa, ila akiomba sex ataambiwa sex hadi ipite miezi 4, we unachotaka ni sex tu, no sex till marriage, blah blah mara aliwe nauli mzabzabXi JinpingNatafuta AjiraZemandaMzee wa kupambania
Eeh bwana nimetafakari kwa kina haya malalamiko yako, inaonesha jamaa ni highclass kuliko wewe mnawaitaga ma HB ndio maana anakufanya sex toy. Na wewe unajijua hulipi ukiachana nae utakaa single mda mrefu na upwiru hivyo badala ya kulalamika we endelea kufurahia huduma ya mkuyenge wa take-away.
Siri ni kwamba wewe ni mmbovu ama huna mvuto wa kike ila umejaliwa mbunye amazing hivyo mwamba anakuita kila akiukumbuka utamu wa K yako. Haya mambo yanatokeaga kwa mabaharia unakuta demu haeleweki ila ana mbususu mnato. Hilo ndo tatizo wala usitafute mganga.
Kuna huyo Kijana.. nampenda ila yeye hanipendi kabisaa japo anajifanya kunipenda ila mimi Naona Hakuna upendo kabisa…
Tulikutana kazini huko tukaanzisha husiano ila ni kama mimi ndio nimelishikilia maana anaweza kaa hata siku 4 hajanicheck na akinitafuta hazungumzii lolote la maana.. yaani hatujawai kaa tukazungumza la maana zaidi ya sex
Kusema ukweli na mimi nimeshazoea akinitafuta Sawa asiponitafuta na mimi simtafuti yaani nimeamua kwenda na anavyoenda
Kinachoniumiza ni ile hali mmetoka kuonana yaani hapo mmeachana hawezi hata kukuuliza umefika salama yeye anapiga kimya kesho yake ama baada ya siku 2 ndio anakutafuta.. et kukujulia hali kama uko sawa na blablah
Nimeshajizuia mara nyingi akiniita nisiende ila nashindwa unakuta akinitafuta tu sichomoi lazima niende na nina kuwa napata hali ya kumis kusex nae kila wakati… huyu ni mwanaume wangu wa pili kuwa nae after my ex kufariki…
Sina mwanaume mwingine zaidi yake ila ananifanya nijione sina thamani kwasababu haijawai kutokea mimi kuwa hivyo najiona nimekuwa mrahisi kwake kwa kukubali kunitumia vile anavyojisikia
Mahusiano yana miezi 4 na tumeshasex zaidi ya mara 2…
Kingine huyu mwanaume hanipi hela zaidi ya nauli tu kama tukionana na mimi pia sijawah kumuomba hata vocha yake… jamani nampa bure kabisaa lakini yeye hajali kuhusu mimi…
Mpk ninahisi huyu mwanaume atakuwa ameniroga au Nina matatizo ya kisaikolojia
Naombeni ushaurii kama Hii hali ni ya kawaida au kunakitu hakipo sawa
Mimi Nina Miaka 24 yeye ana miaka 29
Mimi nina kazi na yeye pia ana kazi yake
Kuna huyo Kijana.. nampenda ila yeye hanipendi kabisaa japo anajifanya kunipenda ila mimi Naona Hakuna upendo kabisa…
Tulikutana kazini huko tukaanzisha husiano ila ni kama mimi ndio nimelishikilia maana anaweza kaa hata siku 4 hajanicheck na akinitafuta hazungumzii lolote la maana.. yaani hatujawai kaa tukazungumza la maana zaidi ya sex
Kusema ukweli na mimi nimeshazoea akinitafuta Sawa asiponitafuta na mimi simtafuti yaani nimeamua kwenda na anavyoenda
Kinachoniumiza ni ile hali mmetoka kuonana yaani hapo mmeachana hawezi hata kukuuliza umefika salama yeye anapiga kimya kesho yake ama baada ya siku 2 ndio anakutafuta.. et kukujulia hali kama uko sawa na blablah
Nimeshajizuia mara nyingi akiniita nisiende ila nashindwa unakuta akinitafuta tu sichomoi lazima niende na nina kuwa napata hali ya kumis kusex nae kila wakati… huyu ni mwanaume wangu wa pili kuwa nae after my ex kufariki…
Sina mwanaume mwingine zaidi yake ila ananifanya nijione sina thamani kwasababu haijawai kutokea mimi kuwa hivyo najiona nimekuwa mrahisi kwake kwa kukubali kunitumia vile anavyojisikia
Mahusiano yana miezi 4 na tumeshasex zaidi ya mara 2…
Kingine huyu mwanaume hanipi hela zaidi ya nauli tu kama tukionana na mimi pia sijawah kumuomba hata vocha yake… jamani nampa bure kabisaa lakini yeye hajali kuhusu mimi…
Mpk ninahisi huyu mwanaume atakuwa ameniroga au Nina matatizo ya kisaikolojia
Naombeni ushaurii kama Hii hali ni ya kawaida au kunakitu hakipo sawa
Mimi Nina Miaka 24 yeye ana miaka 29
Mimi nina kazi na yeye pia ana kazi yake
Mahusiano yana miezi minne na mmekutana x2. Maana yake kwa mujibu wa uzi wako, amekupigia simu sio zaidi ya x4 (mbili kuomba sex, mbili kuongea blabla)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.