Ananitafuta akitaka tufanye mapenzi tu. Nataka kumuacha, nashindwa maana ninampenda

sasa si umwambie unauza akulipe kiliko kumpa bure? miezi minne ushavuliwa chupi zaidi ya mara mbili! mtu anakutafuta akiwa nanyege ashakuona we ni sex mashin wake, hujalogwa wala nn inaonekana anakukuna vizuri sana kiasi unarukwa na akili? ukiitambua thamani yako binti ndipo wengine watakuthamini.
Ukweli mchungu
 
Mkuu katika harakati za ujana niliingia kwenye mahusiano na binti wa kingoni akaja kuolewa na kibopa sasa ile mikito yetu haikuwahi kufutika kwenye oblangata yake mke wa MTU sumu anaforce yeye
 
Kuna huyo Kijana.. nampenda ila yeye hanipendi kabisaa japo anajifanya kunipenda ila mimi Naona Hakuna upendo kabisa…

Tulikutana kazini huko tukaanzisha husiano ila ni kama mimi ndio nimelishikilia maana anaweza kaa hata siku 4 hajanicheck na akinitafuta hazungumzii lolote la maana.. yaani hatujawai kaa tukazungumza la maana zaidi ya sex

Kusema ukweli na mimi nimeshazoea akinitafuta Sawa asiponitafuta na mimi simtafuti yaani nimeamua kwenda na anavyoenda

Kinachoniumiza ni ile hali mmetoka kuonana yaani hapo mmeachana hawezi hata kukuuliza umefika salama yeye anapiga kimya kesho yake ama baada ya siku 2 ndio anakutafuta.. et kukujulia hali kama uko sawa na blablah

Nimeshajizuia mara nyingi akiniita nisiende ila nashindwa unakuta akinitafuta tu sichomoi lazima niende na nina kuwa napata hali ya kumis kusex nae kila wakati… huyu ni mwanaume wangu wa pili kuwa nae after my ex kufariki…

Sina mwanaume mwingine zaidi yake ila ananifanya nijione sina thamani kwasababu haijawai kutokea mimi kuwa hivyo najiona nimekuwa mrahisi kwake kwa kukubali kunitumia vile anavyojisikia

Mahusiano yana miezi 4 na tumeshasex zaidi ya mara 2…
Kingine huyu mwanaume hanipi hela zaidi ya nauli tu kama tukionana na mimi pia sijawah kumuomba hata vocha yake… jamani nampa bure kabisaa lakini yeye hajali kuhusu mimi…

Mpk ninahisi huyu mwanaume atakuwa ameniroga au Nina matatizo ya kisaikolojia

Naombeni ushaurii kama Hii hali ni ya kawaida au kunakitu hakipo sawa

Mimi Nina Miaka 24 yeye ana miaka 29
Mimi nina kazi na yeye pia ana kazi yake
Sio kwamba hakupendi anakupenda ingawa unamvutia sana kwenye sex ndio maana anakucheck mara kwa mara kwa ajili ya sex na kinachoendelea hapo ni kuwa ametengeneza addiction ya sex hiyo ni mbaya maana ata ukipata mtu mwingine kama akupelekei moto kwa sana kama jamaa hutadumu utarudi kwa huyu jamaa..

Wewe onyesha kumjali na kumpenda kama haanzishi maongezi tofauti na sex tu basi wewe anzisha ukimaliza sex ukirudi nyumbani mwambie hubby nimefika salama after time utaona atabadilika na atakupenda sana na kukuoa kabisa..
Wanaume sisi ukitupa utamu bila kipimo na ukawa unaendelea kutuheshimu basi hatuna nongwa..
Huyo jamaa anakupenda ila anashindwa kujieleza anza wewe utaona mabadiliko makubwa.
 
Hapo sasa ni kuchanganyikiwa kwa shauri mbalimbali mwengine hakupendi mwingine anakupenda… mwingine kaniambia mie kabaya simvutii anapenda papuchii 😂😂

Basi bhn asante kwa ushaurii Mimi nitachukua yanayonifaa
 
Kingine huyu mwanaume hanipi hela zaidi ya nauli tu kama tukionana na mimi pia sijawah kumuomba hata vocha yake… jamani nampa bure kabisaa lakini yeye hajali kuhusu mimi…
Point kuu hii hapa, mwambie hakuna cha bure, bure imetosha.

Utani pembeni, kaa chini mwambie unavyojisikia, ukiweza mwandikie waraka kama ulioleta hapa.
 
Point kuu hii hapa, mwambie hakuna cha bure, bure imetosha.

Utani pembeni, kaa chini mwambie unavyojisikia, ukiweza mwandikie wataraka kama ulioleta hapa.
Sawa nitajaribu
 
Kuna huyo Kijana.. nampenda ila yeye hanipendi kabisaa japo anajifanya kunipenda ila mimi Naona Hakuna upendo kabisa…

Tulikutana kazini huko tukaanzisha husiano ila ni kama mimi ndio nimelishikilia maana anaweza kaa hata siku 4 hajanicheck na akinitafuta hazungumzii lolote la maana.. yaani hatujawai kaa tukazungumza la maana zaidi ya sex

Kusema ukweli na mimi nimeshazoea akinitafuta Sawa asiponitafuta na mimi simtafuti yaani nimeamua kwenda na anavyoenda

Kinachoniumiza ni ile hali mmetoka kuonana yaani hapo mmeachana hawezi hata kukuuliza umefika salama yeye anapiga kimya kesho yake ama baada ya siku 2 ndio anakutafuta.. et kukujulia hali kama uko sawa na blablah

Nimeshajizuia mara nyingi akiniita nisiende ila nashindwa unakuta akinitafuta tu sichomoi lazima niende na nina kuwa napata hali ya kumis kusex nae kila wakati… huyu ni mwanaume wangu wa pili kuwa nae after my ex kufariki…

Sina mwanaume mwingine zaidi yake ila ananifanya nijione sina thamani kwasababu haijawai kutokea mimi kuwa hivyo najiona nimekuwa mrahisi kwake kwa kukubali kunitumia vile anavyojisikia

Mahusiano yana miezi 4 na tumeshasex zaidi ya mara 2…
Kingine huyu mwanaume hanipi hela zaidi ya nauli tu kama tukionana na mimi pia sijawah kumuomba hata vocha yake… jamani nampa bure kabisaa lakini yeye hajali kuhusu mimi…

Mpk ninahisi huyu mwanaume atakuwa ameniroga au Nina matatizo ya kisaikolojia

Naombeni ushaurii kama Hii hali ni ya kawaida au kunakitu hakipo sawa

Mimi Nina Miaka 24 yeye ana miaka 29
Mimi nina kazi na yeye pia ana kazi yake

Mapenzi unampa aina gani kitandani? Kuwa mkweli.
 
Haaha tunaongea bhn… sema ndio ile mnakaa siku 3 ndio mnawasiliana..
Ila sasa mimi kuna ile nimezoea mwanaume anitafute mimi sio mimi nimtafute so tunajikuta wote tupo kimya…
Namaanisha hakuna story za maana tunaongea zaidi ya ngono… sijui labda kwasababu bado penzi jipya

Hiyo kwangu haina shida nataka tu anijali kama hivyo tumetoka kuonana basi aniulize hata kama nimefika
Penzi jipya ndio huwa linakuwa na mawaslisno mfululizo. Hilo lenu siku ya kwanza tu mmeshaanza kugalagala. Hebu tuambie kwanza ilikuwaje wakati anakutongoza. Mlikuwa mnaongea nara kwa mara au ni hivihivi? Usikute mwenzetu ni introvert halafu tunamlaumu
 
Hii point nimeiweka ili wale wa kuniuliza kama mimi ni ombaomba.. mjue tu tunawapaga bure na hamtujali

Kama unafanya kazi/Unakipato chako cha kueleweka, nafikiri hata hiyo nauli ungekuwa ukiikataa huku ukiendelea kutoa ushirikiano ILI awazie mambo makubwa kwako. Ukiwa na kazi yako usipende kuomba/kuendekeza vihela vidogo vidogo kama watoto wa chuo.

Nafikiri ungejikita kuwa hana mawasiliano na wewe na hilo ndio tatizo kubwa. Kwa maelezo yako inaonesha kuwa hana mapenzi na wewe ILA anakutumia tu kwa kuwa hajapata mtu wake sahihi na akimpata, hutakaa umsikie au pengine atakuwa akikutafuta tu mara moja moja akitaka kutoa stress
Jua tu kuwa, hapo hakuna mume!
 
Eti nampa bure... Na hapohapo unasema huwa unamiss kusex nae... Wanawake bwana hata sijui mnataka nini, umalaya tu siku hizi ndiyo umejaza vichwa vyenu

Kuna sehemu imeandikwa ukikipeleka hiko kikojoleo kwa mwanaume ambaye ni mpenzi wako lazima akupe pesa?

Kataa ndoa wana hoja nzito mno
 
sasa si umwambie unauza akulipe kiliko kumpa bure? miezi minne ushavuliwa chupi zaidi ya mara mbili! mtu anakutafuta akiwa nanyege ashakuona we ni sex mashin wake, hujalogwa wala nn inaonekana anakukuna vizuri sana kiasi unarukwa na akili? ukiitambua thamani yako binti ndipo wengine watakuthamini.
We mama mkwe nae Una kihelehele kweli
 
Back
Top Bottom