Ananitafuta akitaka tufanye mapenzi tu. Nataka kumuacha, nashindwa maana ninampenda

Kuna huyo Kijana.. nampenda ila yeye hanipendi kabisaa japo anajifanya kunipenda ila mimi Naona Hakuna upendo kabisa…

Tulikutana kazini huko tukaanzisha husiano ila ni kama mimi ndio nimelishikilia maana anaweza kaa hata siku 4 hajanicheck na akinitafuta hazungumzii lolote la maana.. yaani hatujawai kaa tukazungumza la maana zaidi ya sex

Kusema ukweli na mimi nimeshazoea akinitafuta Sawa asiponitafuta na mimi simtafuti yaani nimeamua kwenda na anavyoenda

Kinachoniumiza ni ile hali mmetoka kuonana yaani hapo mmeachana hawezi hata kukuuliza umefika salama yeye anapiga kimya kesho yake ama baada ya siku 2 ndio anakutafuta.. et kukujulia hali kama uko sawa na blablah

Nimeshajizuia mara nyingi akiniita nisiende ila nashindwa unakuta akinitafuta tu sichomoi lazima niende na nina kuwa napata hali ya kumis kusex nae kila wakati… huyu ni mwanaume wangu wa pili kuwa nae after my ex kufariki…

Sina mwanaume mwingine zaidi yake ila ananifanya nijione sina thamani kwasababu haijawai kutokea mimi kuwa hivyo najiona nimekuwa mrahisi kwake kwa kukubali kunitumia vile anavyojisikia

Mahusiano yana miezi 4 na tumeshasex zaidi ya mara 2…
Kingine huyu mwanaume hanipi hela zaidi ya nauli tu kama tukionana na mimi pia sijawah kumuomba hata vocha yake… jamani nampa bure kabisaa lakini yeye hajali kuhusu mimi…

Mpk ninahisi huyu mwanaume atakuwa ameniroga au Nina matatizo ya kisaikolojia

Naombeni ushaurii kama Hii hali ni ya kawaida au kunakitu hakipo sawa

Mimi Nina Miaka 24 yeye ana miaka 29
Mimi nina kazi na yeye pia ana kazi yake
Kama hakupigii si umpigie wewe?? Nani amesema kwenye mahusiano anayepaswa kupiga simu ni mwanaume tu??

Aidha, kama hakupi pesa basi muombe atakupa.
 
Unafanya kazi gani
 
Hapo sasa ni kuchanganyikiwa kwa shauri mbalimbali mwengine hakupendi mwingine anakupenda… mwingine kaniambia mie kabaya simvutii anapenda papuchii 😂😂

Basi bhn asante kwa ushaurii Mimi nitachukua yanayonifaa
Ishi na huo ushauri wangu utanishukuru baadae..!
 
Penzi jipya ndio huwa linakuwa na mawaslisno mfululizo. Hilo lenu siku ya kwanza tu mmeshaanza kugalagala. Hebu tuambie kwanza ilikuwaje wakati anakutongoza. Mlikuwa mnaongea nara kwa mara au ni hivihivi? Usikute mwenzetu ni introvert halafu tunamlaumu
Tangu mwanzo yuko hivyohivyo
 
Kama unafanya kazi/Unakipato chako cha kueleweka, nafikiri hata hiyo nauli ungekuwa ukiikataa huku ukiendelea kutoa ushirikiano ILI awazie mambo makubwa kwako.

Nafikiri ungejikita kuwa hana mawasiliano na wewe na hilo ndio tatizo kubwa. Kwa maelezo yako inaonesha kuwa hana mapenzi na wewe ILA anakutumia tu kwa kuwa hajapata mtu wake sahihi na akimpata, hutakaa umsikie au pengine atakuwa akikutafuta tu mara moja moja akitaka kutoa stress
Jua tu kuwa, hapo hakuna mume!
Sawa
 
Eti nampa bure... Na hapohapo unasema huwa unamiss kusex nae... Wanawake bwana hata sijui mnataka nini, umalaya tu siku hizi ndiyo umejaza vichwa vyenu

Kuna sehemu imeandikwa ukikipeleka hiko kikojoleo kwa mwanaume ambaye ni mpenzi wako lazima akupe pesa?

Kataa ndoa wana hoja nzito mno
Sawa
 
Kama hakupigii si umpigie wewe?? Nani amesema kwenye mahusiano anayepaswa kupiga simu ni mwanaume tu??

Aidha, kama hakupi pesa basi muombe atakupa.
Sina cha kuongea nae mkuu
 
Back
Top Bottom