Ananitafuta akitaka tufanye mapenzi tu. Nataka kumuacha, nashindwa maana ninampenda

Ananitafuta akitaka tufanye mapenzi tu. Nataka kumuacha, nashindwa maana ninampenda

sasa si umwambie unauza akulipe kiliko kumpa bure? miezi minne ushavuliwa chupi zaidi ya mara mbili! mtu anakutafuta akiwa nanyege ashakuona we ni sex mashin wake, hujalogwa wala nn inaonekana anakukuna vizuri sana kiasi unarukwa na akili? ukiitambua thamani yako binti ndipo wengine watakuthamini.
Hakuna kitu kinamchanganya mwanamke kama a broke nigga that fvcks her well
 
Brother yupo vizuri ila ww unataka kuharibu mapenzi ya KIFILIPINO sio dil tena,,, kila mara nikutext,,kila mara nikupigie mara ooooh kata ww aaahhh et kata ww heeeeee muda ni mali aseeeee ,,, NA NAULI ANAKUPA ?? yupo vizuri aseeeee we zingatia la KUTO......haya mengine ni ya bongo movie piga chini
 
Kuna huyo Kijana.. nampenda ila yeye hanipendi kabisaa japo anajifanya kunipenda ila mimi Naona Hakuna upendo kabisa…

Tulikutana kazini huko tukaanzisha husiano ila ni kama mimi ndio nimelishikilia maana anaweza kaa hata siku 4 hajanicheck na akinitafuta hazungumzii lolote la maana.. yaani hatujawai kaa tukazungumza la maana zaidi ya sex

Kusema ukweli na mimi nimeshazoea akinitafuta Sawa asiponitafuta na mimi simtafuti yaani nimeamua kwenda na anavyoenda

Kinachoniumiza ni ile hali mmetoka kuonana yaani hapo mmeachana hawezi hata kukuuliza umefika salama yeye anapiga kimya kesho yake ama baada ya siku 2 ndio anakutafuta.. et kukujulia hali kama uko sawa na blablah

Nimeshajizuia mara nyingi akiniita nisiende ila nashindwa unakuta akinitafuta tu sichomoi lazima niende na nina kuwa napata hali ya kumis kusex nae kila wakati… huyu ni mwanaume wangu wa pili kuwa nae after my ex kufariki…

Sina mwanaume mwingine zaidi yake ila ananifanya nijione sina thamani kwasababu haijawai kutokea mimi kuwa hivyo najiona nimekuwa mrahisi kwake kwa kukubali kunitumia vile anavyojisikia

Mahusiano yana miezi 4 na tumeshasex zaidi ya mara 2…
Kingine huyu mwanaume hanipi hela zaidi ya nauli tu kama tukionana na mimi pia sijawah kumuomba hata vocha yake… jamani nampa bure kabisaa lakini yeye hajali kuhusu mimi…

Mpk ninahisi huyu mwanaume atakuwa ameniroga au Nina matatizo ya kisaikolojia

Naombeni ushaurii kama Hii hali ni ya kawaida au kunakitu hakipo sawa

Mimi Nina Miaka 24 yeye ana miaka 29
Mimi nina kazi na yeye pia ana kazi yake
Kwa kweli mkuu sijawahi kukuelewa , yaani kila nikiunganisha nyuzi zako nashindwa kupata pattern au correlation kabisa kuhusu wewe.....
 
Brother yupo vizuri ila ww unataka kuharibu mapenzi ya KIFILIPINO sio dil tena,,, kila mara nikutext,,kila mara nikupigie mara ooooh kata ww aaahhh et kata ww heeeeee muda ni mali aseeeee ,,, NA NAULI ANAKUPA ?? yupo vizuri aseeeee we zingatia la KUTO......haya mengine ni ya bongo movie piga chini
Sawa
 
Hana cha kupoteza kwako, huo ndo ukweli, japo ukweli huu ni mchungu.
 
Back
Top Bottom