- Thread starter
- #481
SawaAnakutumia. Ila sio mbaya na wewe mtumie tumie kupunguza nja huku ukijisort.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaAnakutumia. Ila sio mbaya na wewe mtumie tumie kupunguza nja huku ukijisort.
Wewe ndio huyo mwamba kwaniUwongo huu mwamba kishaichakaza sana tu🤣🤣
Basi nimeanza mimi kumpigisha story and he respond sema inachoshaaBasi jamaa ni introvert. Sio kwamba hakupendi
TunatumianaHapa
Ni wewe unamtumia na kumharibu kijana wa watu.
Ni wewe unampotezea muda wake.
Pole sana dada yake na mimi kwa changamoto hiyo ya kimahusiano, nafikiri ni changamoto ya mahusiano ya pande zote hata wanaume tunazipitia lakini mi ningependa kabla sijakushauru nirejelee reflection ya literally works zinamchora mwanamke as a tool of sex kwa mwanaume kwo wanaume wengi bado tuna mentality nyingi za kuwa mitazamo hiyo kwa wanawake wetu tulionao kwenye mahusiano ya kimapenzi. Hivyo ningekushauru utambue kuwa mapenzi ya kweli ya utayapata kwa mtu anayekupenda pekee na siyo unayempenda kwani mtu anayekupenda akili na focus yake iko kwako kwa 75% kati ya 100% lakini ukimpenda unayempenda Kuna uwezekano mkubwa wa kukutana na hatari ya kupenda moyo wa mtu mwingine thus unakuta hata yeye hakufikirii zaidi ya kukutumia kwenye sex tu.Kuna huyo Kijana.. nampenda ila yeye hanipendi kabisaa japo anajifanya kunipenda ila mimi Naona Hakuna upendo kabisa…
Tulikutana kazini huko tukaanzisha husiano ila ni kama mimi ndio nimelishikilia maana anaweza kaa hata siku 4 hajanicheck na akinitafuta hazungumzii lolote la maana.. yaani hatujawai kaa tukazungumza la maana zaidi ya sex
Kusema ukweli na mimi nimeshazoea akinitafuta Sawa asiponitafuta na mimi simtafuti yaani nimeamua kwenda na anavyoenda
Kinachoniumiza ni ile hali mmetoka kuonana yaani hapo mmeachana hawezi hata kukuuliza umefika salama yeye anapiga kimya kesho yake ama baada ya siku 2 ndio anakutafuta.. et kukujulia hali kama uko sawa na blablah
Nimeshajizuia mara nyingi akiniita nisiende ila nashindwa unakuta akinitafuta tu sichomoi lazima niende na nina kuwa napata hali ya kumis kusex nae kila wakati… huyu ni mwanaume wangu wa pili kuwa nae after my ex kufariki…
Sina mwanaume mwingine zaidi yake ila ananifanya nijione sina thamani kwasababu haijawai kutokea mimi kuwa hivyo najiona nimekuwa mrahisi kwake kwa kukubali kunitumia vile anavyojisikia
Mahusiano yana miezi 4 na tumeshasex zaidi ya mara 2…
Kingine huyu mwanaume hanipi hela zaidi ya nauli tu kama tukionana na mimi pia sijawah kumuomba hata vocha yake… jamani nampa bure kabisaa lakini yeye hajali kuhusu mimi…
Mpk ninahisi huyu mwanaume atakuwa ameniroga au Nina matatizo ya kisaikolojia
Naombeni ushaurii kama Hii hali ni ya kawaida au kunakitu hakipo sawa
Mimi Nina Miaka 24 yeye ana miaka 29
Mimi nina kazi na yeye pia ana kazi yake

Atakujali bila ndoa..?Sitaki ndoa natka anijali
Kuna huyo Kijana.. nampenda ila yeye hanipendi kabisaa japo anajifanya kunipenda ila mimi Naona Hakuna upendo kabisa…
Tulikutana kazini huko tukaanzisha husiano ila ni kama mimi ndio nimelishikilia maana anaweza kaa hata siku 4 hajanicheck na akinitafuta hazungumzii lolote la maana.. yaani hatujawai kaa tukazungumza la maana zaidi ya sex
Kusema ukweli na mimi nimeshazoea akinitafuta Sawa asiponitafuta na mimi simtafuti yaani nimeamua kwenda na anavyoenda
Kinachoniumiza ni ile hali mmetoka kuonana yaani hapo mmeachana hawezi hata kukuuliza umefika salama yeye anapiga kimya kesho yake ama baada ya siku 2 ndio anakutafuta.. et kukujulia hali kama uko sawa na blablah
Nimeshajizuia mara nyingi akiniita nisiende ila nashindwa unakuta akinitafuta tu sichomoi lazima niende na nina kuwa napata hali ya kumis kusex nae kila wakati… huyu ni mwanaume wangu wa pili kuwa nae after my ex kufariki…
Sina mwanaume mwingine zaidi yake ila ananifanya nijione sina thamani kwasababu haijawai kutokea mimi kuwa hivyo najiona nimekuwa mrahisi kwake kwa kukubali kunitumia vile anavyojisikia
Mahusiano yana miezi 4 na tumeshasex zaidi ya mara 2…
Kingine huyu mwanaume hanipi hela zaidi ya nauli tu kama tukionana na mimi pia sijawah kumuomba hata vocha yake… jamani nampa bure kabisaa lakini yeye hajali kuhusu mimi…
Mpk ninahisi huyu mwanaume atakuwa ameniroga au Nina matatizo ya kisaikolojia
Naombeni ushaurii kama Hii hali ni ya kawaida au kunakitu hakipo sawa
Mimi Nina Miaka 24 yeye ana miaka 29
Mimi nina kazi na yeye pia ana kazi yake
KasahauWe si ulisemaga umeolewa?
Sawa mekuelewaaUnavolalamika khaa!! Mwanzo nilikuwa naanza kujawa hisia za huruma, lakin mwisho wa uzi sijakuonea hata. Mtu mnamiez mi 4 ila malalamiko kama mnamiaka, umempa tamu mara 2 tuu lkn utazan unampaga kilasiku??
Hapo we tulia, mapenzi yanaeza anza bardi na yakaja kuwa hot kadri siku zinaenda. Kuna mengi hujajua kuhusu jamaa na yeye hivohivo hajui kuhusu wew ila kadri mtavizid kupeana mtajuana navmambo yatakuwa powa. Punguza matarajio makubwa kutoka kwake na wacha mapenzi ya runinga utakuwa n furaha.
SawaPole sana dada yake na mimi kwa changamoto hiyo ya kimahusiano, nafikiri ni changamoto ya mahusiano ya pande zote hata wanaume tunazipitia lakini mi ningependa kabla sijakushauru nirejelee reflection ya literally works zinamchora mwanamke as a tool of sex kwa mwanaume kwo wanaume wengi bado tuna mentality nyingi za kuwa mitazamo hiyo kwa wanawake wetu tulionao kwenye mahusiano ya kimapenzi. Hivyo ningekushauru utambue kuwa mapenzi ya kweli ya utayapata kwa mtu anayekupenda pekee na siyo unayempenda kwani mtu anayekupenda akili na focus yake iko kwako kwa 75% kati ya 100% lakini ukimpenda unayempenda Kuna uwezekano mkubwa wa kukutana na hatari ya kupenda moyo wa mtu mwingine thus unakuta hata yeye hakufikirii zaidi ya kukutumia kwenye sex tu.
SawasawaNdicho alichokupendea hicho,we mpe tu aipelekee motro
Hii ni chai tu! Umeanza kwa kutupa picha kuwa jamaa anakutumia kwa sex tu halafu huku mwisho unasema mahusiano yenyewe ni ya miezi minne na mmesex zaidi ya mara mbili! are you serious? Halafu unaleta issue ya pesa na kumpa bure WTF!Kuna huyo Kijana.. nampenda ila yeye hanipendi kabisaa japo anajifanya kunipenda ila mimi Naona Hakuna upendo kabisa…
Tulikutana kazini huko tukaanzisha husiano ila ni kama mimi ndio nimelishikilia maana anaweza kaa hata siku 4 hajanicheck na akinitafuta hazungumzii lolote la maana.. yaani hatujawai kaa tukazungumza la maana zaidi ya sex
Kusema ukweli na mimi nimeshazoea akinitafuta Sawa asiponitafuta na mimi simtafuti yaani nimeamua kwenda na anavyoenda
Kinachoniumiza ni ile hali mmetoka kuonana yaani hapo mmeachana hawezi hata kukuuliza umefika salama yeye anapiga kimya kesho yake ama baada ya siku 2 ndio anakutafuta.. et kukujulia hali kama uko sawa na blablah
Nimeshajizuia mara nyingi akiniita nisiende ila nashindwa unakuta akinitafuta tu sichomoi lazima niende na nina kuwa napata hali ya kumis kusex nae kila wakati… huyu ni mwanaume wangu wa pili kuwa nae after my ex kufariki…
Sina mwanaume mwingine zaidi yake ila ananifanya nijione sina thamani kwasababu haijawai kutokea mimi kuwa hivyo najiona nimekuwa mrahisi kwake kwa kukubali kunitumia vile anavyojisikia
Mahusiano yana miezi 4 na tumeshasex zaidi ya mara 2…
Kingine huyu mwanaume hanipi hela zaidi ya nauli tu kama tukionana na mimi pia sijawah kumuomba hata vocha yake… jamani nampa bure kabisaa lakini yeye hajali kuhusu mimi…
Mpk ninahisi huyu mwanaume atakuwa ameniroga au Nina matatizo ya kisaikolojia
Naombeni ushaurii kama Hii hali ni ya kawaida au kunakitu hakipo sawa
Mimi Nina Miaka 24 yeye ana miaka 29
Mimi nina kazi na yeye pia ana kazi yake
Usijione mpuzi jione tu umejikwaa na amka na kuendelea na maisha yako.Nimejiona mpuuzi