Kijukuu cha ngoyayi
JF-Expert Member
- Oct 27, 2018
- 1,384
- 2,880
Kumbe wenyewe una genye kidumu then na hela unataka we kipeleke tu mwana aipge as long unasikia utam au vp
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo kumnyima sex tu, ni kumnyima na kumtukana, hata achukie tayari chati yako ishapanda.Mbona hamueleweki.. mkizungushwa kupewa sex mnasema tukuwapa mnakula na kusepa tukiwapa mapema napo maharage ya mbeya….
Kwaiyo nilipaswa kumnyima sex ama
AsanteSiyo kumnyima sex tu, ni kumnyima na kumtukana, hata achukie tayari chati yako ishapanda.
Lakini kama anakupenda nd'oangerudi kwa adabu na kuanza kukubembeleza akupose.
Ngoja nikwambie, mwanamme wa malengo huwa 'hapewi' mpaka atapotimiza lengo lake.
'Toa' kwingine lakini mwiko kumpa papa mwenye malengo na wewe, ndiyo atatia juhudi kukufuatilia kwa karibu na kuharakisha mipango yske ili akipate na kukiona unachoringia na kumnyanyasia.
Lakini ukijirahisi tu, tayari unaishusha thamani yako, anakuweka kwenye orodha ya ufuska na kushusha 'muhu' wa malengo na wewe, maana chenye thamani pekee kinachowafanya hata majemedari wapiganishe vita mataifa, wewe umemgawia kirahisi bure bure bila jasho.
hakuna mwanamme anapenda mwanamke wa kushika tu mkono na kuvutia chumbani kwake bila kikwazo wala pingamizi.
Kila mwanamme anapenda kumiliki mwanamke mgumu na mwenye msimamo.
HapaKuna huyo Kijana.. nampenda ila yeye hanipendi kabisaa japo anajifanya kunipenda ila mimi Naona Hakuna upendo kabisa…
Tulikutana kazini huko tukaanzisha husiano ila ni kama mimi ndio nimelishikilia maana anaweza kaa hata siku 4 hajanicheck na akinitafuta hazungumzii lolote la maana.. yaani hatujawai kaa tukazungumza la maana zaidi ya sex
Kusema ukweli na mimi nimeshazoea akinitafuta Sawa asiponitafuta na mimi simtafuti yaani nimeamua kwenda na anavyoenda
Kinachoniumiza ni ile hali mmetoka kuonana yaani hapo mmeachana hawezi hata kukuuliza umefika salama yeye anapiga kimya kesho yake ama baada ya siku 2 ndio anakutafuta.. et kukujulia hali kama uko sawa na blablah
Nimeshajizuia mara nyingi akiniita nisiende ila nashindwa unakuta akinitafuta tu sichomoi lazima niende na nina kuwa napata hali ya kumis kusex nae kila wakati… huyu ni mwanaume wangu wa pili kuwa nae after my ex kufariki…
Sina mwanaume mwingine zaidi yake ila ananifanya nijione sina thamani kwasababu haijawai kutokea mimi kuwa hivyo najiona nimekuwa mrahisi kwake kwa kukubali kunitumia vile anavyojisikia
Mahusiano yana miezi 4 na tumeshasex zaidi ya mara 2…
Kingine huyu mwanaume hanipi hela zaidi ya nauli tu kama tukionana na mimi pia sijawah kumuomba hata vocha yake… jamani nampa bure kabisaa lakini yeye hajali kuhusu mimi…
Mpk ninahisi huyu mwanaume atakuwa ameniroga au Nina matatizo ya kisaikolojia
Naombeni ushaurii kama Hii hali ni ya kawaida au kunakitu hakipo sawa
Mimi Nina Miaka 24 yeye ana miaka 29
Mimi nina kazi na yeye pia ana kazi yake
Basi jamaa ni introvert. Sio kwamba hakupendiTangu mwanzo yuko hivyohivyo
Uwongo huu mwamba kishaichakaza sana tu🤣🤣Mahusiano yana miezi 4 na tumeshasex zaidi ya mara 2…
hapoapoWapi
Hakutaki unalazimisha nini au mpaka utungiwe wimbo?Kuna huyo Kijana.. nampenda ila yeye hanipendi kabisaa japo anajifanya kunipenda ila mimi Naona Hakuna upendo kabisa…
Tulikutana kazini huko tukaanzisha husiano ila ni kama mimi ndio nimelishikilia maana anaweza kaa hata siku 4 hajanicheck na akinitafuta hazungumzii lolote la maana.. yaani hatujawai kaa tukazungumza la maana zaidi ya sex
Kusema ukweli na mimi nimeshazoea akinitafuta Sawa asiponitafuta na mimi simtafuti yaani nimeamua kwenda na anavyoenda
Kinachoniumiza ni ile hali mmetoka kuonana yaani hapo mmeachana hawezi hata kukuuliza umefika salama yeye anapiga kimya kesho yake ama baada ya siku 2 ndio anakutafuta.. et kukujulia hali kama uko sawa na blablah
Nimeshajizuia mara nyingi akiniita nisiende ila nashindwa unakuta akinitafuta tu sichomoi lazima niende na nina kuwa napata hali ya kumis kusex nae kila wakati… huyu ni mwanaume wangu wa pili kuwa nae after my ex kufariki…
Sina mwanaume mwingine zaidi yake ila ananifanya nijione sina thamani kwasababu haijawai kutokea mimi kuwa hivyo najiona nimekuwa mrahisi kwake kwa kukubali kunitumia vile anavyojisikia
Mahusiano yana miezi 4 na tumeshasex zaidi ya mara 2…
Kingine huyu mwanaume hanipi hela zaidi ya nauli tu kama tukionana na mimi pia sijawah kumuomba hata vocha yake… jamani nampa bure kabisaa lakini yeye hajali kuhusu mimi…
Mpk ninahisi huyu mwanaume atakuwa ameniroga au Nina matatizo ya kisaikolojia
Naombeni ushaurii kama Hii hali ni ya kawaida au kunakitu hakipo sawa
Mimi Nina Miaka 24 yeye ana miaka 29
Mimi nina kazi na yeye pia ana kazi yake
Hahaha!Maelezo mengiii point ni hakupi hela .
Ukipata anaekupa hela utamwacha?
Ukipewa bure na unatoa bure ni sawa. Mapenzi yako kwake na yeye kwako yapo sawa tu tatzo kuna mambo unataka yaende kwa haraka sana. Hapo ukute unataka ndoa na mwamba ana kusoma kwanzaKuna huyo Kijana.. nampenda ila yeye hanipendi kabisaa japo anajifanya kunipenda ila mimi Naona Hakuna upendo kabisa…
Tulikutana kazini huko tukaanzisha husiano ila ni kama mimi ndio nimelishikilia maana anaweza kaa hata siku 4 hajanicheck na akinitafuta hazungumzii lolote la maana.. yaani hatujawai kaa tukazungumza la maana zaidi ya sex
Kusema ukweli na mimi nimeshazoea akinitafuta Sawa asiponitafuta na mimi simtafuti yaani nimeamua kwenda na anavyoenda
Kinachoniumiza ni ile hali mmetoka kuonana yaani hapo mmeachana hawezi hata kukuuliza umefika salama yeye anapiga kimya kesho yake ama baada ya siku 2 ndio anakutafuta.. et kukujulia hali kama uko sawa na blablah
Nimeshajizuia mara nyingi akiniita nisiende ila nashindwa unakuta akinitafuta tu sichomoi lazima niende na nina kuwa napata hali ya kumis kusex nae kila wakati… huyu ni mwanaume wangu wa pili kuwa nae after my ex kufariki…
Sina mwanaume mwingine zaidi yake ila ananifanya nijione sina thamani kwasababu haijawai kutokea mimi kuwa hivyo najiona nimekuwa mrahisi kwake kwa kukubali kunitumia vile anavyojisikia
Mahusiano yana miezi 4 na tumeshasex zaidi ya mara 2…
Kingine huyu mwanaume hanipi hela zaidi ya nauli tu kama tukionana na mimi pia sijawah kumuomba hata vocha yake… jamani nampa bure kabisaa lakini yeye hajali kuhusu mimi…
Mpk ninahisi huyu mwanaume atakuwa ameniroga au Nina matatizo ya kisaikolojia
Naombeni ushaurii kama Hii hali ni ya kawaida au kunakitu hakipo sawa
Mimi Nina Miaka 24 yeye ana miaka 29
Mimi nina kazi na yeye pia ana kazi yake
HapanaHapa
Ni wewe unamtumia na kumharibu kijana wa watu.
Ni wewe unampotezea muda wake.
Sitaki ndoa natka anijaliUkipewa bure na unatoa bure ni sawa. Mapenzi yako kwake na yeye kwako yapo sawa tu tatzo kuna mambo unataka yaende kwa haraka sana. Hapo ukute unataka ndoa na mwamba ana kusoma kwanza
Sawa ndio nimeanza kuringa ivoJiamini bibie, usikae ukawaza una sura mbaya au shape mbaya, mwanamke kuringa
Nasubiri nyimboHakutaki unalazimisha nini au mpaka utungiwe wimbo?
Kwaiyo nisipotiwa marehemu ataamka amaYaani umefiwa alafu unatiwa mbwa wewe
Sijakataa kusex but we need more stories than sexWewe unataka nini sasa? Hivi point ya mahusiano ni nini besides sex? I see nothing wrong with that.