Ananizidi umri lakini tunapendana sana

Ngengemkenilomolomo

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2015
Posts
270
Reaction score
450
Habari wakuu,

Jaman nina mpenzi wangu ananizidi miaka 8
mimi nina20 yeye ana 28, lakini kiukweli tunapendana sana,tatizo lipo mtaani kwetu wanatudis sana na kutufanya tukose amani.Wakuu kwani kuna ubaya wowote mpenzi wako akikuzidi umri.

Naomben ushauri
 
Jaman nna mpenz wang ananzd miaka 8 lakin kiukwel tunapendana sana,tatzo lipo mtaan kwe2 wanatudis sana,naomben ushaur wenu me nna 20 yy ana 28

kama mnapendana kweli umri c shida,waache wadis tu maana hawana mchango wowote kwenye maisha yako!kuwa na msimamo.
 
Mapenzi hayaangalii umri bwana weeeeeeee hebu jiachie maisha yenyewe mafupi haya hahhahaaah!!!!!
 
Kamuombe ushauri Nuu mzuwanda sijui.. Nuru mziwanda.
 
Achana na hawa madogo: Kula ile kitu moyo inapenda!
 
Last edited by a moderator:
Lakini pia wewe bado mdogo, kwani husomi? kama unasoma ni vyema ukawaza masomo zaidi. ila kama usomi una mishe za kimaisha tu, it is your decision. umri sio mwamuzi wa mume au mke. NB: usikurupuke ndoa si mchezo utachakazwa miaka 25 tu utakua kama bi Kidude.
 
We tumiaa tuu hapo pakupooozea engine ila ndoaa hakuna hapoo
 
Wewe unaonaje? kwanini ya watu yakukere? raha zanu nyie kwanini wengine iwahusu?
 
Umri namba tu!? Je papuchi na dushe znashabiiana/znafit??? Asije akakupwelepwetaaah
 


huyo jamaa ana miaka 45 ila anacheza kama mtu mwenye miaka 26
age is just a number
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…