wegero kihonda
New Member
- Mar 15, 2015
- 3
- 1
nipo na mto kitanda na blanket zito balaaa full joto
Hahaha u need something more reaal.
Its enough nothing more
ha ha hah ushauri ni kwamba usiangalie watu wakitaa wanasema nini nyie fanyeni yenu............ hii baridi kudadeki
Meona eeh hata me kwako sisikilizi haters wanasema nini japo ki umri umenizidi nachojali ni raha unazonipa tuu
Duuh asee kazi ipoHabari wakuu,
Jaman nina mpenzi wangu ananizidi miaka 8 mimi nina20 yeye ana 28, lakini kiukweli tunapendana sana,tatizo lipo mtaani kwetu wanatudis sana na kutufanya tukose amani.Wakuu kwani kuna ubaya wowote mpenzi wako akikuzidi umri.
Naomben ushauri