Ananizidi umri lakini tunapendana sana

Ananizidi umri lakini tunapendana sana

Go ahead bro sio inssue sana bora tu mnapeana heshima!! Unaweza ukaoa mdogo wako na akakuzingua vilevile!! Binadam hujifanya wana formula za maisha ila wanafeli kila kukicha usiwasikilize!
 
Sasa hapa watu mnashauri au mnapotezana? Miaka 8 kwa mwanamke ni gape kubwa sana.
 
Mwanamke kumzidi mwanaume miaka8 hilo sio jambo la kawaida kwenye ndoa, lazima liathiri huo uhusiano.
 
Habari wakuu,

Jaman nina mpenzi wangu ananizidi miaka 8 mimi nina20 yeye ana 28, lakini kiukweli tunapendana sana,tatizo lipo mtaani kwetu wanatudis sana na kutufanya tukose amani.Wakuu kwani kuna ubaya wowote mpenzi wako akikuzidi umri.


Naomben ushauri
Duuh asee kazi ipo
 
Back
Top Bottom