Mkereketwa wa NAZI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2022
- 1,048
- 2,449
Aachane na hiyo kozi, arudie kuomba ,aombe hata environmental engineering ardhi au hata water resources and irrigation engineering water institute.Kuna binti kamaliza form six mwaka huu kaomba chuo kapata vyuo viwili na alikuwa anasoma PCB kapata UDSM na UDOM lakini kozi aliyopata ndo haelewi kozi yenyewe ni Aquaculture vyuo vyote viwili kapata kozi iyo ss anauliza vp iyo kozi ajira zake zimekaaje
Shukran kwa ushaur ila nataka nijue nimpe na sababu kwa nn aachane nayo ili nikifika nmpe nondo vzur wengine tumeishia ngumbalu kusoma kumetupitia pembeniAachane na hiyo kozi, arudie kuomba ,aombe hata environmental engineering ardhi au hata water resources and irrigation engineering water institute.
Hapo kweli nilikuwa sielewi inahusu nn niliona jina la kozi n zuri hapo atasugua mtaani mpk akome ss nmemwambia anasema hawez omba chuo chengine tena kwa mfumo wa tcu labda mpk mwakan na hawez kughairi kusoma mwaka huu nmemwacha analia tuWanasoma mambo ya viumbe wa majini
Ndio uangalie hapo atafanya kazi wapi au ataweza kujiajiri Kupitia hiyo kozi?
Ni kweli aisee iyo kozi hawez toboa ataajiriwa wapi labda awe mvuvi ss uvuvi mtu lazima usomee ndo yale yale mtu kusomea mifugo na kilimo nmemwambia bhana ila ndo analia kinyama usiku kucha anasema hatma ya maisha yake haioniYaani asomee kuhusu samaki ? Aende akasome afya , nursing au medical laboratory technician atatoboa.
Au radiology/mionziYaani asomee kuhusu samaki ? Aende akasome afya , nursing au medical laboratory technician atatoboa.
😆😆😆😆 acha uongo mkuu bank na samaki wapi na wapiKuna jamaa kasoma iyo. Kaajiriwa bank.
Eti watu wanasema hata za afya siku izi n kipengele ajira hakuna n kweli kwamba mtu amalize u dr akose kazi na mahospitali yote serikali hayana ma drAu radiology/mionzi
Ajira sekta ya afya inategemea serikali tatizo wahitimu wamekuwa wengi kuliko uwezo wa serikali kuajiri. Imefikia hatua watu wanaajiriwa kwa mikataba ya kujitolea unalipwa nusu ya mshahara. Kwa upande wa sekta binafsi nafasi ni chache sana.Eti watu wanasema hata za afya siku izi n kipengele ajira hakuna n kweli kwamba mtu amalize u dr akose kazi na mahospitali yote serikali hayana ma dr
Mkuu naamini Mungu anampeleka huko(syo coincidence kuchaguliwa the same course Kwa vyuo viwili tofauti).....kuhusu kutoboa/kupata Kaz ni mipango ya Mungu( the good thing Kuna uwezekano mkubwa wa kujiajiri)Hapo kweli nilikuwa sielewi inahusu nn niliona jina la kozi n zuri hapo atasugua mtaani mpk akome ss nmemwambia anasema hawez omba chuo chengine tena kwa mfumo wa tcu labda mpk mwakan na hawez kughairi kusoma mwaka huu nmemwacha analia tu
Plus tunakoelekea Dunia itaanza kuutilize resources baharin(so wataalam wa aquaculture ni muhimu) BLUE ECONOMY is the futureMkuu naamini Mungu anampeleka huko(syo coincidence kuchaguliwa the same course Kwa vyuo viwili tofauti).....kuhusu kutoboa/kupata Kaz ni mipango ya Mungu( the good thing Kuna uwezekano mkubwa wa kujiajiri)
Blue economy ni big agenda right now and nawajua watu wanaomake alot of income kupitia hizo course......
Dah aisee ngoja nkamuoneshe nmekuelewa sn broh point kubwa sn kama hataielewa n bhas tu kozi n mtt wa kike mambo mengi ila ningekuwa mm ningesoma iyo ishu nimekuelewa zaidi ya kukuelewa yaanMkuu naamini Mungu anampeleka huko(syo coincidence kuchaguliwa the same course Kwa vyuo viwili tofauti).....kuhusu kutoboa/kupata Kaz ni mipango ya Mungu( the good thing Kuna uwezekano mkubwa wa kujiajiri)
Blue economy ni big agenda right now and nawajua watu wanaomake alot of income kupitia hizo course......
And nawajua watu wanaomake alot of income through hizo issues kuliko hata hao waajiriwa.....kwangu it's a right path akituliaDah aisee ngoja nkamuoneshe nmekuelewa sn broh point kubwa sn kama hataielewa n bhas tu kozi n mtt wa kike mambo mengi ila ningekuwa mm ningesoma iyo ishu nimekuelewa zaidi ya kukuelewa yaan
Umeeleweka kaka ngoja nkampe hizi nondo as if nayajua mm kumbe nimetoa kwakoPlus tunakoelekea Dunia itaanza kuutilize resources baharin(so wataalam wa aquaculture ni muhimu) BLUE ECONOMY is the future
Sawa mkuuUmeeleweka kaka ngoja nkampe hizi nondo as if nayajua mm kumbe nimetoa kwako
Kama unawaza ajira hapo sahau.Kuna binti kamaliza form six mwaka huu kaomba chuo kapata vyuo viwili na alikuwa anasoma PCB kapata UDSM na UDOM lakini kozi aliyopata ndo haelewi kozi yenyewe ni Aquaculture vyuo vyote viwili kapata kozi iyo ss anauliza vp iyo kozi ajira zake zimekaaje
Aipo chini ya CoNas mkuuKama unawaza ajira hapo sahau.
Kozi yako ina nafasi chache za ajira.
Cha kufanya kwa kuwa Course yako kwa upande wa UDSM ipo chini ya CONAS na UDOM ipo chini ya Utawala wa CNMS, kabadili course, soma Bachelor of Science in Chemistry ama pia pale UDSM soma Food Science.
Achana na Aquaculture, utapotea.