Afcon 2027
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 309
- 579
And skuizi wanasomea Kunduchi CampusAipo chini ya CoNas mkuu
Iko SoAF
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
And skuizi wanasomea Kunduchi CampusAipo chini ya CoNas mkuu
Iko SoAF
It's a good course mkuuKama unawaza ajira hapo sahau.
Kozi yako ina nafasi chache za ajira.
Cha kufanya kwa kuwa Course yako kwa upande wa UDSM ipo chini ya CONAS na UDOM ipo chini ya Utawala wa CNMS, kabadili course, soma Bachelor of Science in Chemistry ama pia pale UDSM soma Food Science.
Achana na Aquaculture, utapotea.
Wewe Chemistry si Natural Science ama?Aipo chini ya CoNas mkuu
Iko SoAF
Aquaculture? Wadau wengi ambao walisoma hiyo course hawana ajira mpaka leo hii.It's a good course mkuu
I thought unazungumzia aquacultureWewe Chemistry si Natural Science ama?
kama target ni ajira (cjui uwezekano huo).......my point is Kuna possibilities nying za kufanikwa nje ya ajiraAquaculture? Wadau wengi ambao walisoma hiyo course hawana ajira mpaka leo hii.
Uoande wa UD ipo chini ya TAFIRIKama unawaza ajira hapo sahau.
Kozi yako ina nafasi chache za ajira.
Cha kufanya kwa kuwa Course yako kwa upande wa UDSM ipo chini ya CONAS na UDOM ipo chini ya Utawala wa CNMS, kabadili course, soma Bachelor of Science in Chemistry ama pia pale UDSM soma Food Science.
Achana na Aquaculture, utapotea.
Hawezi kuomba chuo kingine nani kasemaHapo kweli nilikuwa sielewi inahusu nn niliona jina la kozi n zuri hapo atasugua mtaani mpk akome ss nmemwambia anasema hawez omba chuo chengine tena kwa mfumo wa tcu labda mpk mwakan na hawez kughairi kusoma mwaka huu nmemwacha analia tu
Sw mkuu uzuri wa JF ñdo huu ss kuna wengi tu watakuwa washaelewa nn maana ya hii kozi kupitia huu uzi so shukrani ntafikishia yote haya akili iwe kichwan mwake mwenyew ssMwambie akasome hiyo course utakuja kunishukuru ,hiyo kozi inadili na ukuzaji viumbe bahari ni kozi nzuri sana na ajira zake ni nje na ndani ya nchi. Watalaamu wa mariculture na aquaculture wanatafutwa sana na pia unaweza kujiajiri mwenyewe ukapiga pesa balaa
😂 Wanawake bhana 😂 sasa hapo analia nnHapo kweli nilikuwa sielewi inahusu nn niliona jina la kozi n zuri hapo atasugua mtaani mpk akome ss nmemwambia anasema hawez omba chuo chengine tena kwa mfumo wa tcu labda mpk mwakan na hawez kughairi kusoma mwaka huu nmemwacha analia tu
😆😆😆😆 yaani shida kimeona wenzake wamechaguliwa cjui nursing ndo kipo na stress hatar namwambia haya maisha kila mtu kaandikiwa na maisha yake ss wote wawe ma nurse huko kazini mtaendaje😂 Wanawake bhana 😂 sasa hapo analia nn
Mwambie abadili kozi tuu mana pcb atapata kozi nyngn nzuri tuu
Aombe chuo kingine au au abadili kozi kama anaona hy haielewi, atulize kichwa aache mapepe😆😆😆😆 yaani shida kimeona wenzake wamechaguliwa cjui nursing ndo kipo na stress hatar namwambia haya maisha kila mtu kaandikiwa na maisha yake ss wote wawe ma nurse huko kazini mtaendaje
Dah yaan dogo kila nikiliambia toka asubuhi halielewi nmegoogle iyo ishu kumbe n potensho wanang kuna mpk mashirika yanasimamia uharibifu wa mazingira maeneo ya majini lazima uwe umesoma iyo kozi aisee n kweli iko vxur ila bhas mwache akabadili anasema bora akasomee unurseHyo kozi mpaka Jeshini na JKT imepewa kipaumbele kiufupi tunakoelekea itakuwa na demand kubwa alafu wengi wanaosoma hyo kozi ni watumishi wizara ya uvuvi na halmashauri idara ya uvuvi kwahyo unasoma na watu wenye connection .
Usimpe moyo , yaani asote miaka 3 akisomea dagaa na vyura ili aje achimbe mabwawa ya samaki ?Mkuu naamini Mungu anampeleka huko(syo coincidence kuchaguliwa the same course Kwa vyuo viwili tofauti).....kuhusu kutoboa/kupata Kaz ni mipango ya Mungu( the good thing Kuna uwezekano mkubwa wa kujiajiri)
Blue economy ni big agenda right now and nawajua watu wanaomake alot of income kupitia hizo course......
mwache dogo akasome hiyo kozi ni nzuri sana me washkaji zangu wamelamba ajira mafia island mwaka juzi 2022Kuna binti kamaliza form six mwaka huu kaomba chuo kapata vyuo viwili na alikuwa anasoma PCB kapata UDSM na UDOM lakini kozi aliyopata ndo haelewi kozi yenyewe ni Aquaculture vyuo vyote viwili kapata kozi iyo ss anauliza vp iyo kozi ajira zake zimekaaje
Sawa mkuuUsimpe moyo , yaani asote miaka 3 akisomea dagaa na vyura ili aje achimbe mabwawa ya samaki ?
Ipo siku utatukumbuka humu, mwambie akasome afya,Dah yaan dogo kila nikiliambia toka asubuhi halielewi nmegoogle iyo ishu kumbe n potensho wanang kuna mpk mashirika yanasimamia uharibifu wa mazingira maeneo ya majini lazima uwe umesoma iyo kozi aisee n kweli iko vxur ila bhas mwache akabadili anasema bora akasomee unurse