Anaomba msaada wa hii kozi tafadhali

It's a good course mkuu
 
Cha msingi hapo nikuzidi kujielimisha kuhusu Hio kozi ya Aquaculture kwa machache nafahamu inahusu elimu ya uzalishaji,utunzaji,utunzaji na uvunaji wa samaki.Lengo kuu ni elimu kuhusu samaki kwa ufupi japo ukiingia katika website na ushauri zaidi unaweza pata madini .

Kwa Imani yangu anapofika chuo atajifunza mambo mengine ukiachana na samaki kama Uchumi,maisha n.k ,Elimu ya sasa kupata ajira ni changamoto sana unaweza ukasoma aquaculture ukaishia kuwa mwalimu,afisa ugani n.k yaani hayo ndo maisha mwanzoni hapa unaweza ona huwezi ila maisha yakikunyoosha vizuri kazi yoyote yenye tija unapiga
 
Uoande wa UD ipo chini ya TAFIRI
 
Mwambie akasome hiyo course utakuja kunishukuru ,hiyo kozi inadili na ukuzaji viumbe bahari ni kozi nzuri sana na ajira zake ni nje na ndani ya nchi. Watalaamu wa mariculture na aquaculture wanatafutwa sana na pia unaweza kujiajiri mwenyewe ukapiga pesa balaa
 
Hapo kweli nilikuwa sielewi inahusu nn niliona jina la kozi n zuri hapo atasugua mtaani mpk akome ss nmemwambia anasema hawez omba chuo chengine tena kwa mfumo wa tcu labda mpk mwakan na hawez kughairi kusoma mwaka huu nmemwacha analia tu
Hawezi kuomba chuo kingine nani kasema
Ombeni chuo kingine kozi nyingine atachaguliwa tu hiyo ya kwanza TCU watacancel wenyewe huko mbona mifano ipo ya watu walifanya hivo hamna haja ya kusubiri mwakani
 
Sw mkuu uzuri wa JF Γ±do huu ss kuna wengi tu watakuwa washaelewa nn maana ya hii kozi kupitia huu uzi so shukrani ntafikishia yote haya akili iwe kichwan mwake mwenyew ss
 
Hapo kweli nilikuwa sielewi inahusu nn niliona jina la kozi n zuri hapo atasugua mtaani mpk akome ss nmemwambia anasema hawez omba chuo chengine tena kwa mfumo wa tcu labda mpk mwakan na hawez kughairi kusoma mwaka huu nmemwacha analia tu
πŸ˜‚ Wanawake bhana πŸ˜‚ sasa hapo analia nn
Mwambie abadili kozi tuu mana pcb atapata kozi nyngn nzuri tuu.
Hapo ety tcu hawatokubali kuchagua kozi/chuo kingine amedanganya aisee
 
πŸ˜‚ Wanawake bhana πŸ˜‚ sasa hapo analia nn
Mwambie abadili kozi tuu mana pcb atapata kozi nyngn nzuri tuu
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† yaani shida kimeona wenzake wamechaguliwa cjui nursing ndo kipo na stress hatar namwambia haya maisha kila mtu kaandikiwa na maisha yake ss wote wawe ma nurse huko kazini mtaendaje
 
Hyo kozi mpaka Jeshini na JKT imepewa kipaumbele kiufupi tunakoelekea itakuwa na demand kubwa alafu wengi wanaosoma hyo kozi ni watumishi wizara ya uvuvi na halmashauri idara ya uvuvi kwahyo unasoma na watu wenye connection .
 
Hyo kozi mpaka Jeshini na JKT imepewa kipaumbele kiufupi tunakoelekea itakuwa na demand kubwa alafu wengi wanaosoma hyo kozi ni watumishi wizara ya uvuvi na halmashauri idara ya uvuvi kwahyo unasoma na watu wenye connection .
Dah yaan dogo kila nikiliambia toka asubuhi halielewi nmegoogle iyo ishu kumbe n potensho wanang kuna mpk mashirika yanasimamia uharibifu wa mazingira maeneo ya majini lazima uwe umesoma iyo kozi aisee n kweli iko vxur ila bhas mwache akabadili anasema bora akasomee unurse
 
Usimpe moyo , yaani asote miaka 3 akisomea dagaa na vyura ili aje achimbe mabwawa ya samaki ?
 
mwache dogo akasome hiyo kozi ni nzuri sana me washkaji zangu wamelamba ajira mafia island mwaka juzi 2022
 
Ipo siku utatukumbuka humu, mwambie akasome afya,

Mimi mdogo wangu alikuwa anapenda kusomea BWANA AFYA nikampiga stop aache huo ujinga .akaenda kusoma radiology na sasa Yupo mwaka wa mwisho degree muhas ameanza kupiga pesa huku anasoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…