Anaomba nimsaidie pesa, sitampa maana kipindi cha mahusiano yetu hakuwahi kunipa penzi

Ila huyo nae, inamana hana ndugu wa karibu zaidi, majirani, workmates au wafanyabiashara wenzie wa karibu mpaka aende kwa ex?? Its possibly baada ya kila mmoja kuwa kivyake mlikuwa na mawasiliano ya karibu sana,,, inashangaza sana.
 
Kuna mwanamke kwenye mwaka 2011 nilikuwa namtaka na nilimpenda sana, viela vyangu vidogo dogo alikula sana, wacha mahitaji mengine, kipindi hiko yeye ana umri wa 21yrs, nilimpenda aswaaaa, kala sana viela vyangu kipindi hiko.

Ila pamoja na kumjali kote hakuwai kunipa penzi kipindi hiko chote ,kila siku anasema subiri subiri, naogopa naogopa. Mwisho wa siku nikampotezea na nikaja kuoa , maisha yakasonga.

Sasa bwana mwezi uliopita nikagumiananae kwenye mtandao fulani, tukachat sana, akaniambia ameolewa na Sasa ana mtoto mmoja, anasema kipindi kile hata yeye alinipenda sana,ila utoto ulikuwa unamsumbua tu, nikamuambia usijali yashapita hayo bibie, hata mimi nna familia kwasasa,

Sasa bwana Jana ameniambia yupo Mwanza alienda kwenye kumuuguza mama yake, na bahati mbaya amekufa. Kwahiyo pamoja na mambo mengine anaomba nimsaidie elfu Themanini aongezee nauli, na mahitaji mengine.

Aisee sijapata jibu la kumjibu mpaka leo, zaidi yakumwambia subiri tuangalie namna zake. Kuna wanawake Ni wapuuzi Sana, Sasa mtu Kama huyu wakumsaidia kweli hiyo senti, siitakuwa ni "Ukoro"
msaidie
 
Mwambie amwambie mumewe tafadhali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukija na jibu la kumsaidia utakuwa utopolo tu, mwambia kwa sasa umekosa ila mwahidi akimaliza msiba utamsaidia kumuinua na kumsahaulisha machungu, na baby baby za kumjulia hali ziwe za kutosha kipindi hiki, muunge vifurushi vya dk,sms na data, halafu kuwa nae makini aliefiwa hawezi kuwa bize na data, fuatilia uwepo wake msibani ukiona yuko bize na data ujue hudadeee
 
mkuu ntamtumia tu hakuna namna, ili serikali ikate Kodi ya uzalendo 😎

Mkuu kuna wakati kuwa mjanja ndio huwa ujinga wenyewe - alisikika muuza korosho akisema kwa sauti

Tunaomba mrejesho umeshatuma au tuendelee kukushauri?
 
Hapana, nna hasira nae hajui tu, ni vile tu kipindi kile hela ilikuwa yakuchezea, nami umri ulikuwa wa ujana ujana, nilikuwa sijali kitu,
Ulikuwa Una mpa hela nyingi Sanaa ?
 
Kafiwa!

Tena na mama yake......!!!!

Kiubinadamu kama unayo mpe tu....

Ingekuwa anaombabya saluni au mtaji au upuuzi mwingkne sawa.

Sio kila uombwapo msaada unakimbilia kukataa kwa kuwa hakukupa kifanyio!!!!!!!!

Dunia duara ndugu!!!
 
Kuna boya mmoja we just met on IG tukawa marafiki kaanza vibomu vya hapa na pale......

Sometimes ananiomba nimwazime 200k akachukue mzigo k/koo atanirefund nikawa nampa ila sijawahi kurudishiwa[emoji847][emoji847][emoji847]

Maisha yakaendelea bhana, yule 'she' alikuwa amezalishwa na jamaa na katelekezwa na ktk kuchat niliona kabisa mwamba was right kumuacha maana demu Yuko too aggressive akitaka jambo lake.....

Story inaanza yule sikuwahi kuwaza ningeomba game despite of vibomu vyake na nilimwambia kabisa Mimi nina mke
Sasa kitu kilichonifanya nibadili uamuzi ni too much demands zake mara nimlipie kodi,hadi mwanae nikamkatia bima ya afya and at the end tukipanga meeting anachomoa

Mwisho wa siku nikaamua nimpotezee tu akipiga simu sipokei na text sijibu ikawa imeisha ivo
Na ww ulikuwa boya kweli unawezaje kumlipia mtu kodi ya nyumba ukafika mbali na mwanae umlipie ada bila makubaliano yeyote?![emoji848][emoji848],hivi ni rahisi hivyo ukiambiwa tuu kitu unatimiza
 
Ujana maji ya moto mazee ujanani kuna niliimlia pesa zake na aliniamini kupita maelezo alinipenda mnooo ila ndoivo nikaolewa na mwingine kabisaaa,, ila nimemuangusha namrefundi pesa zake make aliniamini mno mnoo
Dah Smart911 wa watu nae aliliwa sana aisee
 
Wengi husema uongo kuwa wamefiwa au kuuguliwa ili waaibie hela wanaume!

Buyer beware!

Wajinga ndio waliwao!
 
Hivi mwanamke unamwombaje hela mume wa mtu?

Ndio kusema unajilengesha na kumtega akutake au ?

Halafu Mleta mada kama umeoa mkeo akiona unaombwa hela ujue hatakuelewa atajua ni hawara yako tu.
 
Sasa bwana Jana ameniambia yupo Mwanza alienda kwenye kumuuguza mama yake, na bahati mbaya amekufa. Kwahiyo pamoja na mambo mengine anaomba nimsaidie elfu Themanini aongezee nauli, na mahitaji mengine.

Aisee sijapata jibu la kumjibu mpaka leo, zaidi yakumwambia subiri tuangalie namna zake. Kuna wanawake Ni wapuuzi Sana, Sasa mtu Kama huyu wakumsaidia kweli
Acha roho za kimaskini aiaseeee elfu 80 kitu gani?
 
Kuna mwanamke kwenye mwaka 2011 nilikuwa namtaka na nilimpenda sana, viela vyangu vidogo dogo alikula sana, wacha mahitaji mengine, kipindi hiko yeye ana umri wa 21yrs, nilimpenda aswaaaa, kala sana viela vyangu kipindi hiko.

Ila pamoja na kumjali kote hakuwai kunipa penzi kipindi hiko chote ,kila siku anasema subiri subiri, naogopa naogopa. Mwisho wa siku nikampotezea na nikaja kuoa , maisha yakasonga.

Sasa bwana mwezi uliopita nikagumiananae kwenye mtandao fulani, tukachat sana, akaniambia ameolewa na Sasa ana mtoto mmoja, anasema kipindi kile hata yeye alinipenda sana,ila utoto ulikuwa unamsumbua tu, nikamuambia usijali yashapita hayo bibie, hata mimi nna familia kwasasa,

Sasa bwana Jana ameniambia yupo Mwanza alienda kwenye kumuuguza mama yake, na bahati mbaya amekufa. Kwahiyo pamoja na mambo mengine anaomba nimsaidie elfu Themanini aongezee nauli, na mahitaji mengine.

Aisee sijapata jibu la kumjibu mpaka leo, zaidi yakumwambia subiri tuangalie namna zake. Kuna wanawake Ni wapuuzi Sana, Sasa mtu Kama huyu wakumsaidia kweli hiyo senti, siitakuwa ni "Ukoro"
Ungemjibu palepale kuwa huna fedha sio kumdanganya
 
Back
Top Bottom