Fine Wine
JF-Expert Member
- Jul 24, 2023
- 595
- 1,686
Anonymous member
Nyie majeshi msokuwa na vifaa vya vita salamaleko [emoji3526] nataka kuchepuka... Ipo hivi mume wangu alichepuka mwaka jana nikipata sms nkagundua hilo alifuta bahati mbaya/nzuri nilizipata kwenye ricyclebin baada yakunipa simu yake nitumie, sasa nilichukia sana aliomba msamaha ila kiukweli moyoni sijasamehe kabisa cz hata tukikosana nakumbushia hilo[emoji53]naona hadi niweze kusahau lazima na mimi nchepuke tu ndo roho itatulia, kwasasa yupo kikazi mkoani anajifanya kunipenda sana (Huwa ananipenda)lakini namuona kabisa ana wasiwasi kwa vile hayupo karibu anajua pengine nitakuwa natoka kuzurula hovyo (kawaida Huwa nipo home tu) sasa Kila mda video call anajidai anamsalimia mtoto[emoji57].... Nina Vimeo huko nje vinanitaka sasa nawaza niende tu nkabadilishe jasho huko kidogo[emoji39]huko alipo huyu msaliti atakaa miezi4-5 bila kuonana, haya nishaurini mwanajeshi mwenzenu.