Anaomba ushauri, achepuke?

Anaomba ushauri, achepuke?

Anonymous member

Nyie majeshi msokuwa na vifaa vya vita salamaleko [emoji3526] nataka kuchepuka... Ipo hivi mume wangu alichepuka mwaka jana nikipata sms nkagundua hilo alifuta bahati mbaya/nzuri nilizipata kwenye ricyclebin baada yakunipa simu yake nitumie, sasa nilichukia sana aliomba msamaha ila kiukweli moyoni sijasamehe kabisa cz hata tukikosana nakumbushia hilo[emoji53]naona hadi niweze kusahau lazima na mimi nchepuke tu ndo roho itatulia, kwasasa yupo kikazi mkoani anajifanya kunipenda sana (Huwa ananipenda)lakini namuona kabisa ana wasiwasi kwa vile hayupo karibu anajua pengine nitakuwa natoka kuzurula hovyo (kawaida Huwa nipo home tu) sasa Kila mda video call anajidai anamsalimia mtoto[emoji57].... Nina Vimeo huko nje vinanitaka sasa nawaza niende tu nkabadilishe jasho huko kidogo[emoji39]huko alipo huyu msaliti atakaa miezi4-5 bila kuonana, haya nishaurini mwanajeshi mwenzenu.
Je unazijua mbinu za midani?
 
Kwanini unajifanya mwanamke ilhali wewe ni KIDUME???
 
Karibu kwangu baby Nakupenda siwezi kuishi bila wewe
 
Hii ndo shida ya kuoa malaya .
Anatafuta validation ya kuzini.
Unalipa kisasi kwa kuzini, what if ukaenda uko ukaungua kabisa?
Finished woman.
 
  • Thanks
Reactions: _ly
Zinaa ni deni, hapo hakuna ushauri utausikia mpaka ulipe deni alokopa mumeo......

Mkumbuke Mungu, moumbe msamaha.
Malaya hatakuelewa. Huyo kashaamua, kashahamisha hisia kwa mtu mwingine, wasichojua wanawake, anayekudanganya atakuacha ukiachwa.
 
Kitu chako afu tuku shauri sisi jinsi ya kuki tumia alaah
 
Back
Top Bottom