Anaomba ushauri: Alimuacha mke kwa miaka 9 (bila kumpa talaka kwa ndoa ya kiislamu), sasa anataka warudiane wakati mke alishaolewa!

Kwa Kuwa kabila la mke ushalitaja, bila shaka sitaambiwa Ninaendekeza ukabila nikikuuliza kuwa wewe ni msambaa?
Sijajua kabila lake, ila nitamuuliza
 
Aisee! Miaka tisa unatelekeza familia
 
Kama sio unakichaaa una wazimu 🐒
 
Broo
 
Kumbe shida yako ni akupe mtaji? Jitu zima huna aibu unataka upewe mtaji na mwanamke? Wazazi wako wana hasara.
 
Pole sana mkuu we pambana na hali yako tu usimuaze.
Kukaa miaka 9 bila ata mawasiliano alafu ni mkeo wa ndoa ata ingekuwa wewe lazima unge move on
 
kwa mujibu wa sheria talaka umeishatoa,mkeo anaishi ki halali na mume wake,rudi kwenu kaanze upya kutafuta maisha
 
Mods naomba kwenye hili bandiko mruhusu tutukane, huyu mleta mada ni mshenzi wa tabia sana. Na hapo picha linaanza utateseka kisaikolojia mpaka ukome.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…