Anaomba ushauri: Alimuacha mke kwa miaka 9 (bila kumpa talaka kwa ndoa ya kiislamu), sasa anataka warudiane wakati mke alishaolewa!


Jipige kifuani mara mbili alafu sema MIMI NI FALA
 
Serikali ina kazi kweli kweli. Hivi huyu jamaa naye ni raia wa Tanzania??!!!!🤔🤔🤔 yaani ninakushauri nenda mirembe ukapime akili kwanza halafu uje tukupe ushauri.
 
Wewe jamaa tafuta kibunda tu ...ulimuacha mwenyewe sahiz unataka umrudia miaka 9 huna aibu na unaomba mtaji mwache mwenzio alea watoto
 
Unamuacha miaka 9?. Na mwili huu huu?. Aisee hata angekuwa nani angetafuta namna nyingine
 
Hiyo inaitwa FIMBO YA MUNGU..ugulia tu maumivu
 
We jamaa ni jinga la kutupwa hufai kuwa mwanaume kabisa, umejidhalilisha.
 
Inawezekana alikwenda omba talaka kwa Mufti(mahakama ya kadhi). Kumbuka huyu mke ulimtelekeza kwa miaka 9 sasa unataka akusubiri tu?. Maneno yako umesema unataka akupe mtaji ndio utowe talaka sasa shida yako mtaji au mke?.
🤣🤣🤣😂😂Ye mwenyewe hajui anataka nini
 
Tumuombee mwenzetu msamaha, hamjawahi kukosea kosa dogo kama hilo?
 
Mpumbavu wewe.
 
Hii ni chai kabisa..wananchi msikasirike..maana kuna watu mnataka kupasuka
 
Hapo cha kufanya, ajipeleke gereza lolote akaombe afungwe kwa miaka miwili na kazi ngumu ili ajifunze kuwa maisha siyo kuishi ishi tu ila ni kuunda rekodi njema.

Ova
 
sijui hata niandike nini nahisi hasira alizonazo huyo mke. niishie apa.
 
Achana na wanaokutukana.

Kisheria wewe unatambulika vizuri kabisa,, na Una haki zote Kama wanaume wengine wapumbavu na unastahili kuuwawa.
 
Hivi huyo anayeomba huo ushauri wakati anakuambia huo upuuzi wake hakuona aibu?
 
Sema nini bro, wewe mtu wa ajabu sana!


soma hapa

Kifupi huna ndoa, mwache dada wa watu na maisha yake.
Halafu watu wa hivi hata ukipewa mtaji bado hutaweza kusimama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…