Anaomba ushauri: Alimuacha mke kwa miaka 9 (bila kumpa talaka kwa ndoa ya kiislamu), sasa anataka warudiane wakati mke alishaolewa!

shwaini
 
Ninanavyo juwa kwa waislamu ukimuacha mwanamke kwa miezi 2 bila sababu maarumu tayali taraka so mkeo Tena.
 
We jamaa ukapimwe akili pambana kivyako acha umariooo😂😂😂
 
kama hawakupeana talaka, hiyo ndoa ya mke ni batili. tena anaweza kumshitaki huyo aliyemuoa, ni mgoni wake.
 
Kisheria ya dini kiislam ikipita miezi minne tu hamko pamoja mke na mume bila sababu maalumu ndoa hakuna[kama sipo sahihi wajuzi mniwie radhi na mnisahihishe]
 
kama hawakupeana talaka, hiyo ndoa ya mke ni batili. tena anaweza kumshitaki huyo aliyemuoa, ni mgoni wake.
Kisheria ya dini kiislam ikipita miezi minne tu hamko pamoja mke na mume bila sababu maalumu ndoa hakuna
 
Kisheria ya dini kiislam ikipita miezi minne tu hamko pamoja mke na mume bila sababu maalumu ndoa hakuna
sheria za dini ya kiislam haipo juu ya sheria ya nchi. hata zile talaka zenu tatu hazipo kisheria, lazima mahakama itoe amri kwamba talaka imetolewa, nje ya hapo ndoa bado hai na inasomeka.
 
Sema kuna watu huwa mnaandika nyuzi ili kupima viwango vyetu vya hasira..😄 unatafutia watu ban kwa kukukutukana. Hata kama ni chai ila inakera balaa.
 
We jamaaaiseh!

Sasa unarudi Tena kufanya nini hasa!?

Umeshawaona watoto unataka nini!!?

Acha ujinga !wanaume hatuna haki duniani Bali Mbinguni haki za duniani ni kwa watoto na mama zao!
 
Acha ufala wewe, uwe una haki gani kwake? Brother umetelekeza familia miaka tisa then unataka upate haki gan hapo? Kitendo cha kuwaona watoto wako tuu hyo ni haki kubwaa mno. Muache mwenzako ameshaanza maisha yake
 
Ulishamuwacha, wanazuoni wamehitilafiana muda wa kuishi mbali na mkeo, lakini wengi wanaukubali muda wa miaka miwili.

Huyo si mkeo tena labda akiwachika muoane tena akikubali. Sidhani kama atakubali.

Jitafutie maisha yako na yeye mwache aendelee na maisha yake, usimzonge zonge.
 
Akupe mtaji???
 
Inawezekana alikwenda omba talaka kwa Mufti(mahakama ya kadhi). Kumbuka huyu mke ulimtelekeza kwa miaka 9 sasa unataka akusubiri tu?. Maneno yako umesema unataka akupe mtaji ndio utowe talaka sasa shida yako mtaji au mke?.
Unajua mkuu hii dunia kuna wanaume wanaweza wakakufanya uwaze hata kwanini Mungu aliwapa kende na koromeo?

Hiki kiazi kinadhani uanaume ni kusimamisha uume maana toka mwanzo amezalisha hajui kama kuna kulea watoto akamkimbia mke akaenda kwa mwengine huko nako akaonekana mzigo kaachwa sasa analilia mke wa zamani ampe mtaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…