Anaomba ushauri mke wake anachepuka

Under-cover

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2023
Posts
1,834
Reaction score
3,042
Habari wakuu mwenzenu nna changamoto Nina mke na mtoto Mmoja lakini kwenye ndoa amani imepotea mke wangu kawa mchepukaji na anaechepuka naye namjua.

Sihitaji kuvunja Sheria wa kufanya ubaya na ananidharau na nashindwa kumuacha kabisa Kila nikitafuta njia moyo unakataa.

Nimejaribu kuwashirikisha rafiki wa karibu wananambia kaniroga ndo maana siwezi kujinasua naombeni msaada kama Kuna mtu ana Moja mtaalam mzuri anisaidie niwafarakanishe na nimtulize mke wangu ndoa itulie awe chini yangu mm nipo mwanza.

SIO MIMI WAKUU, ILA KUNA MWANAUME MWENZETU HUKO ANAOMBA USHAURI NA ATAPITIA HAPA KUCHUKUA NONDO
 
Msaliti hapaswi kupewa msamaha hata kwa bahati mbaya, atamuacha huyo leo kesho atakamatana na mwingine usaliti ni kama ngozi hata ukipaka mafuta ya kuchubua kuna siku itarudia asili yake
 
Acha uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…