Anaomba ushauri mke wake anachepuka

Ndoa ni mateso kumbe hivyo??? Daah!! Pole sana mkuu sema jikaze kiume fanya maamuzi magumu. Hakuna bahati mbaya hapo kurupuka.(Unaishi na malaya ndani mkuu)

Hallelujah!!!
 
kama unamwanamke aliyezaliwa 90 kuja 2000 kushare ni kawaida sana.
Kwaharakaharaka inawezekana katika hiyo ndoa mkeo hana miaka 30 ndo kwanza kumekucha!
lakini kilichokibaya mitandao imeongeza uovu viko vitu hawezi share na wewe lakini anaweza share nje.
cha msingi kaa ukijua kila mapungufu ipo sehemu yako jipime na uone inawezekana wewe ukawa sababu ya yeye kuchepuka jifanyie SWOT mkeo akiwa fursa na jamaa akiwa mshindani wako kisha jisahihishe.
inawezekana fedha, au unafedha lakini hujui mwenzako anataka nini au staili ya maisha unayoishi.
 
Hakuna Msaada wowote, piga chini mwanamke mzinzi!!!
 
Kama anasema hawezi kumwacha huyo mkewe mchepukaji basi na mimi namshauri aendelee kuvumilia tu hamna namna.

Sisi hatuwezi kuingia kwenye akili ya Mkeo na kumfanya aache kuchepuka. Wala hatuwezi kumwambia huyo jamaa aache kula chakula chako.

Hakuna namna, wewe vumilia tu mpaka ufe kwa presha umwache Mkeo achakatwe kwa uhuru zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…