Anaonyesha kukupenda ila ukimtongoza anakataa

Anaonyesha kukupenda ila ukimtongoza anakataa

Mwanakulipata

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2018
Posts
714
Reaction score
1,193
Hivi ndugu zangu hili swala lipoje, unakuta mwanamke upo nae karibu sana anaonyesha kabisa kukupenda, ila ukimtongoza anakataa kata kata[emoji23].

Ukimpoteza anarudi kuwa karibu yaani kiasi kwamba hata mtu baki akiwaona anajua mpo pamoja lakini ukimtongoza ngwalaaa.

Hili swala linakuaje.

1619434655205.png

Pia soma:Mwanaume usione aibu kutongoza, ni sehemu ya kutimiza wajibu wako
 
Hivi ndugu zangu hili swala lipoje, unakuta mwanamke upo nae karibu sana anaonyesha kabisa kukupenda, ila ukimtongoza anakataa kata kata[emoji23]
Ukimpoteza anarudi kuwa karibu yaani kiasi kwamba hata mtu baki akiwaona anajua mpo pamoja lakini ukimtongoza ngwalaaa

Hili swala linakuaje

Mwanakulipata Mwanakulitafuta ,hizo ngwala ni wewe unazitaka
 
Back
Top Bottom