Anaonyesha kukupenda ila ukimtongoza anakataa

Hivi ndugu zangu hili swala lipoje, unakuta mwanamke upo nae karibu sana anaonyesha kabisa kukupenda, ila ukimtongoza anakataa kata kata[emoji23]
Ukimpoteza anarudi kuwa karibu yaani kiasi kwamba hata mtu baki akiwaona anajua mpo pamoja lakini ukimtongoza ngwalaaa

Hili swala linakuaje
Mbona kutongoza ni rahisi sana. Unakwama wapi?
 
Hivi ndugu zangu hili swala lipoje, unakuta mwanamke upo nae karibu sana anaonyesha kabisa kukupenda, ila ukimtongoza anakataa kata kata[emoji23]
Ukimpoteza anarudi kuwa karibu yaani kiasi kwamba hata mtu baki akiwaona anajua mpo pamoja lakini ukimtongoza ngwalaaa

Hili swala linakuaje
Aisee kuna kamoja kapo hivyo nia kanaonyesha nikipiga sound kanachomoa
Ila ipo siku yaja maji ataita mma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahah hako ka manzi kana aibu ya kimapenzi! Kanakuonea aibu ukikaambia kwa maneno sasa we mpe kwa vitendo alimradi ushamueleza kuwa unamuelewa nayeye anajua fika hapo kesi hamna!

Dawa yake moja tu huyo, muitie zawadi gex kama anakupenda atakusikiliza na atakuja, kisha mapema tu unapiga kudu mlango!

Kinachofata ni sound pelepeche na tip touchez mwamuzi mechi ukiona kanaleta utata tu vaa sura ya mbuzi zaidi ya elchapo huku ukitalii kwenye mji wa kinenani😜! Ukishindwa na hapo Toa ujinga wako humu na usije tena kuomba ushauri!
 
Hivi ndugu zangu hili swala lipoje, unakuta mwanamke upo nae karibu sana anaonyesha kabisa kukupenda, ila ukimtongoza anakataa kata kata[emoji23]

Ukimpoteza anarudi kuwa karibu yaani kiasi kwamba hata mtu baki akiwaona anajua mpo pamoja lakini ukimtongoza ngwalaaa

Hili swala linakuaje
Huyo mwanamke we ndio unamkosea ujue! Ita faraghani kisha fanya kama umelost akili we vuruga hakikisha imeingia panapo utelezi! Msamaha mtaombana baada ya bao la kwanza!

Uone kama hatatoa ushirikiano kwa miuno feni 😜
 
Unakwama wapiii mzee pesa ni kila kitu...Hiyo ishanitokea kila ukipiga swagaaa anazengua kweli, siku moja niko zangu ghetto nikamcheki akaja ghetto nikaweka dau (pesa) mezani mtoto kapagawa na dau akaliwa na pesa akasahau kuchukua paka Leo.
 
Hahahahah hako ka manzi kana aibu ya kimapenzi! Kanakuonea aibu ukikaambia kwa maneno sasa we mpe kwa vitendo alimradi ushamueleza kuwa unamuelewa nayeye anajua fika hapo kesi hamna!

Dawa yake moja tu huyo, muitie zawadi gex kama anakupenda atakusikiliza na atakuja, kisha mapema tu unapiga kudu mlango!

Kinachofata ni sound pelepeche na tip touchez mwamuzi mechi ukiona kanaleta utata tu vaa sura ya mbuzi zaidi ya elchapo huku ukitalii kwenye mji wa kinenani😜! Ukishindwa na hapo Toa ujinga wako humu na usije tena kuomba ushauri!
Naona baharia wa kitengo cha ushauri nasaa ukitoa mbinu madhubuti kwa vijana 😂🤣😂🤣😂😂
 
Hivi ndugu zangu hili swala lipoje, unakuta mwanamke upo nae karibu sana anaonyesha kabisa kukupenda, ila ukimtongoza anakataa kata kata[emoji23]

Ukimpoteza anarudi kuwa karibu yaani kiasi kwamba hata mtu baki akiwaona anajua mpo pamoja lakini ukimtongoza ngwalaaa

Hili swala linakuaje
Huyo anatengeneza mazingira ya kuliwa mbususu kimasikhara....wee mtengenezee mazingira tuu. Usijipe kazi ya kutomgoza wakati maandalizi kidogo tuu unakula mbususu yake alafu yeye sasa ndio atakuwa anakutafuta.
 
Back
Top Bottom