rich1
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,020
- 3,309
Ulitangaza dau la shs ngap????Unakwama wapiii mzee pesa ni kila kitu...Hiyo ishanitokea kila ukipiga swagaaa anazengua kweli, siku moja niko zangu ghetto nikamcheki akaja ghetto nikaweka dau (pesa) mezani mtoto kapagawa na dau akaliwa na pesa akasahau kuchukua paka Leo.