Mwanakulipata
JF-Expert Member
- Jul 17, 2018
- 714
- 1,193
Hivi ndugu zangu hili swala lipoje, unakuta mwanamke upo nae karibu sana anaonyesha kabisa kukupenda, ila ukimtongoza anakataa kata kata[emoji23]
Ukimpoteza anarudi kuwa karibu yaani kiasi kwamba hata mtu baki akiwaona anajua mpo pamoja lakini ukimtongoza ngwalaaa
Hili swala linakuaje
Kwanini asitafute mbinu za kutafuta pesa?? Huyo mwanamke amle kimasihara tuNdo tulivyo.
Tafuta mbinu sasa ya kutuingia.
Hapo ndo patamu.
Hata jinsi ya kumla hajui.Kwanini asitafute mbinu za kutafuta pesa?? Huyo mwanamke amle kimasihara tu
Kivipi?Usitongoze wewe kamata piga mambo.
Hahaha kuna wanawake wengine ukimtongoza anaona kama unamdanganya tu so kama huyo anamwita tu ghetto anakula mzigo.Kivipi?
Ampige mtama ambake.
Hii inaitwa kukosa nguvu ya ushawishiMwalimu kashasha anasemaje juu ya hili?
Ah mpaka anakuja ghetto ina maana kajiandaaHahaha kuna wanawake wengine ukimtongoza anaona kama unamdanganya tu so kama huyo anamwita tu ghetto anakula mzigo.
Labda yeye ni Genius maana hao kwa wanawake wazembe sanaHata jinsi ya kumla hajui.
Kwa kweli😂😂Sio kila manzi anatongozwa kiromantic wengine kisela tu unaua